Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Kesi ya iliyofungulia zidi ya Halima Mdee Mwenyekiti wa Bawacha Taiga ambaye ni Mbunge wa Kawe Jana aliibiwa serikali na kufutiwa kesi iliyofunguliwa na serikali ikidai walifanya mkusanyiko bila Kibali.
NB: Niwakati sasa wa kesi za kipuuzi kufutwa na kuacha kubambikia kesi za watanzania wasio na hatia kisa ni wapinzani.
NB: Niwakati sasa wa kesi za kipuuzi kufutwa na kuacha kubambikia kesi za watanzania wasio na hatia kisa ni wapinzani.