Mtz.mzalendo
JF-Expert Member
- Jul 22, 2012
- 357
- 49
Huyu mchungaji si ndio yule mwizi wa umeme? Alichukuliwa hatua gani vile?

Hili nalo neno. Ila atajitetea shule zake.
Naunga mkono 100% Libomolewe tuu! sheria msumeno bana.
To my knowledge sio kazi ya Nemc kugawa viwanja...so mtu mwenye akili atafanya search mwenyewe kujua eneo analojenga nyumba ya dhamani kama hii ni salama kisheria[/QUOTE]
Ni kweli si kazi ya NEMC kugawa viwanja ila mamlaka za serikali (idara ya ardhi na mipango miji) wanatakiwa wawe wamepima viwanja vya kutosha na mwananchi jukumu lake ni kuhakikisha mchoro wa nyumba yake umepitishwa na idara husika na kupewa building permit kama sheria ya mipango miji inavyotaka i.e. Township (Building) Rules, Cap. 101. Na si kumwachia mtu afanye search mwenyewe bila mamlaka zinazohusika kuruhusu ujenzi uendelee. Tatizo kwa Dar ni kubwa sana kwa kuwa watu wanabadilisha matumizi ya ardhi bila kufuata taratibu za kutoa matangazo ikiwa pamoja na kubandika bango la kizushi kwenye kiwanja ili mwananchi yeyote mwenye pingamizi atoe. tukirudi kwenye NEMC wao hawagawi viwanja ila kazi yao ni kufuatilia kama kanuni za mazingira zimefuatwa hivyo wakiibuka sehemu na kugundua kitu maana yake lazima upande mmoja uumie ikiwa na maana kama serikali iliruhusu kibali cha ujenzi huku ikijua kuna athari ktk mazingira (watendaji wa serikali wanapigwa adhabu though serikali yetu sikivu huwa haitekelezi adhabu kwa watumishi wake) na bado nyumba itavunjwa based on sheria za mazingira (yananufaisha wengi) alafu na wao wataangaliana na mteja wao sasa kuona nini cha kufanya. Mpaka NEMC wanagundua tatizo maana yake ardhi na mipango miji wamelala hivyo hata kuchukua hatua inakuwa ngumu.
hawa nemc nao wakifuatilia saana wanahofia usalama wao maana hapa wanadili na fisadi mkubwa mwenye ulinzi nje na ndani ya ikulu mwishowe mtasikia maafisa wa NEMC wamepelekwa kuleeee mabwe pandeTo my knowledge sio kazi ya Nemc kugawa viwanja...so mtu mwenye akili atafanya search mwenyewe kujua eneo analojenga nyumba ya dhamani kama hii ni salama kisheria[/QUOTE]
Ni kweli si kazi ya NEMC kugawa viwanja ila mamlaka za serikali (idara ya ardhi na mipango miji) wanatakiwa wawe wamepima viwanja vya kutosha na mwananchi jukumu lake ni kuhakikisha mchoro wa nyumba yake umepitishwa na idara husika na kupewa building permit kama sheria ya mipango miji inavyotaka i.e. Township (Building) Rules, Cap. 101. Na si kumwachia mtu afanye search mwenyewe bila mamlaka zinazohusika kuruhusu ujenzi uendelee. Tatizo kwa Dar ni kubwa sana kwa kuwa watu wanabadilisha matumizi ya ardhi bila kufuata taratibu za kutoa matangazo ikiwa pamoja na kubandika bango la kizushi kwenye kiwanja ili mwananchi yeyote mwenye pingamizi atoe. tukirudi kwenye NEMC wao hawagawi viwanja ila kazi yao ni kufuatilia kama kanuni za mazingira zimefuatwa hivyo wakiibuka sehemu na kugundua kitu maana yake lazima upande mmoja uumie ikiwa na maana kama serikali iliruhusu kibali cha ujenzi huku ikijua kuna athari ktk mazingira (watendaji wa serikali wanapigwa adhabu though serikali yetu sikivu huwa haitekelezi adhabu kwa watumishi wake) na bado nyumba itavunjwa based on sheria za mazingira (yananufaisha wengi) alafu na wao wataangaliana na mteja wao sasa kuona nini cha kufanya. Mpaka NEMC wanagundua tatizo maana yake ardhi na mipango miji wamelala hivyo hata kuchukua hatua inakuwa ngumu.
Sheria inawaminya masikini majizi ya sadaka kama haya nevaeva hili mama sizani kama ni safi.