Halima Mdee hana jipya

Tumuulize rafiki wake Esther Bulaya kama kweli hana jipya.
 
Yes atarudi bungeni 2015.
 
HUWA HAMFATILII NDIO MAANA KWENYE OPD DADA ANAPGA KAZI KAMA HUJUI MULIZE MSINGWA.
¤¤halima upo juu CHAPA KAZI TUPO PAMOJA LUMUMBA WASIKUKATISHE TAMAA¤¤

Ehee anapiga kazi na mchungaji. Josephina anapiga kazi na Padri sasa wana Junior
 

amekata tamaa coz CDM mnataka kumfanyia mizengwe ili jimbo lake agombee MAMA JUNIOR ifikapo 2015
 
taja jipya ulilo nalo wewe unamajungu sana. hiyo kazi niyawanawake wewe umepotea njia
 
Punguza hasira au hujapata lunch bado? huyo jamaa alimwambia kwa kumficha mimi ndio nimeanua kinu juani sasa mbona unatokwa na mapovu,hakuna sehemu niliyosema kwamba anayetakiwa kutiwa mimba ni David Cameron,nikiwa na maana ya kwamba hilo nalifahamu fika,kwamba anayetakiwa kutiwa mimba ni mwanamke wa KIKE.
Nalog off
 
Kwisha habari yake hata afanye nini bidhaa isiyo na soko imeisha muda wa matumizi.

Mkuu kuna wabunge wengi hawatarudi bungeni 2015 hata hapa kijijinikwetu Cyril Chami hatuezi kumpa kura hakuna alichokifanya, mwingine ni Ole Sendeka huyu jamaa hata kuhakikisha wanapata hospitali ya wilaya huko kwake ameshindwa pamoja na kuwa mbunge kwa muda wote huo.
 
HUWA HAMFATILII NDIO MAANA KWENYE OPD DADA ANAPGA KAZI KAMA HUJUI MULIZE MSINGWA.
¤¤halima upo juu CHAPA KAZI TUPO PAMOJA LUMUMBA WASIKUKATISHE TAMAA¤¤

Nilitaka niwakumbushe hii kitu, walidahani halima atakuwa upande wao kama walivyo wao, kwa taarifa yenu mdee yupo upande wa chedema, jana alikuwa iringa anapiga kazi kwenye M4C OPD
 

Jimbo lile atagombea hawara ya SLAA , JOSEPHINE , Halima bora ahamie NCCR au CHAUMA
 
Jimbo lile atagombea hawara ya SLAA , JOSEPHINE , Halima bora ahamie NCCR au CHAUMA

halima komaa na hao wahafidhina wanaotaka kukupora jimbo lako wampe mama juniour
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…