utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Mbunge wa kawe halima james mdee amesema kuwa chama chake na bawacha wanajiandaa kuingia msituni ili kuitoa ccm madarakani. Amesema kuwa wanawake na vijana wanamuamini hivyo atawaongoza kuinia msituni ili kumkomboa mtanzania.
source: habari itv
Mbunge wa kawe halima james mdee amesema kuwa chama chake na bawacha wanajiandaa kuingia msituni ili kuitoa CCM madarakani.
Amesema kuwa wanawake na vijana wanamuamini hivyo atawaongoza kuinia msituni ili kumkomboa mtanzania.
source: Habari ITV
Misitu iko ya aina nyingi, hawa BAWACHA wanataka kuingia kwenye misitu yao au?
Misitu iko ya aina nyingi, hawa BAWACHA wanataka kuingia kwenye misitu yao au?
Uko msituni watakutana na bokoharam ndo watakiona
Nawaunga mkono hata mimi nipo tayari kwenda msituni, magamba mna ujinga sana.