mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,223
- 4,679
Tutaikumbuka chadema ya Dr Slaa.
Hebu soma Danya #79Akiweka na posho za kijikimu Rais Magufuli anakunja zaidi ya 30M,aache kudanganya watz kama yy eti ni socialist wkt si kweli
Aseme ukweli sasa!Hebu soma Danya #79
Kakujibu vizuri tu.
Halima anapata posh 7M Na Mshahara 3M anawakilsha Watu 2M
Jumla 10M /2M=5 shilingi kila mwananchi wa Kawe anamlipa bi domo.
Sasa JPM anapata hizo mnazosema
34M/47M WaTanzania =.72 senti kilamtanzania anamlipa JPM senti .72
Bi Domo anafanya nini kwa Tanzania tumlipe shilingi TANO kila mwezi?
Kuanzi Leo avatar yake iwe
Mafala yaleeee
Napata wasiwasi pale magufuli aliposema yeye binafsi,makamu wa rais na waziri mkuu watakuwa wanachangia sh 6 milioni kila mwezi kwenye mishahara yao kwa ajili ya elimu kwa mkoa wa dar es salaam.sasa kama analipwa 9.5 milioni pekee si rahisi kuchangia 6 milioni.labda kama ana marupurupu mengi zaidi.dah....ama kweli CCM ni ile ile.
Dr dau anachangia ujenzi wa hilo kalavati la kigamboni halafu anapiga hela mara mbili ya hiyo nyambafuNa pia kuwa kwa sasa nimarufuku kuweka picha za Noel wala kupiga kwaya kwenye ofisi za serikali Magu ndiyo kasema.
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee amemuomba Rais John Magufuli kuweka wazi posho na marupurupu anayoyapata ili Watanzania wajue kiasi halisi anachokipata mbali na mshahara wake.
Mdee ambaye ni mbunge wa Kawe, alitoa ombi hilo jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Viwanja vya Sokoni, Jimbo la Mtama mkoani Lindi, uliohudhuriwa na mamia ya wananchi wa jimbo hilo.
Kauli hiyo ya Mdee imekuja siku moja baada ya Rais Magufuli kutaja mshahara wake kuwa ni Sh9.5 milioni kwa mwezi.
“Juzi Rais anasema eti mshahara wake Sh9.5 milioni, sasa atutajie posho za kila siku ili kila Mtanzania ajue kiasi ambacho anakipata,” alisema Mdee. Mdee aliongeza kuwa wabunge wanalipwa mshahara wa Sh3 milioni, lakini kuna posho mbalimbali kutokana na kuhudumia wananchi.
“Sisi wabunge mshahara wetu katika hati ya mshahara unasomeka Sh3 milioni, lakini posho na pesa ya mambo ya utendaji ya mbunge inafika Sh10 milioni, Rais atuambie na yeye posho zake ni kiasi gani,” alisema Mdee.
Chanzo: Mtembezi
Hata mie namshangaa, kuna kipindi nilikuwa nampenda lkn siku hizi naona analipuka tuu bila hoja za msingiHuyu kamanda sasa naona amekosa hoja. Kweli rais Magufuli anaimaliza ukawa polepole. Mhe Halima Mdee ukijua hizo posho rais itakusaidia nini kwani ziko kikatiba?
Huyu mdada ana msongo wa mawazo ya kukosa mume, mnaompenda muoeni atulie awe analeta hoja za maana.Hata mie namshangaa, kuna kipindi nilikuwa nampenda lkn siku hizi naona analipuka tuu bila hoja za msingi
Huyu mdada ana msongo wa mawazo ya kukosa mume, mnaompenda muoeni atulie awe analeta hoja za maana.Hata mie namshangaa, kuna kipindi nilikuwa nampenda lkn siku hizi naona analipuka tuu bila hoja za msingi
Msukuma alitowa hoja Bungeni kwamba BANGI Na MIRUNGI zi halalishwe.Na mnukuu."katika bunge lako tukufu kuna vigogo wengi tu wanatumia BANGI Na wako powa tu"Hata mie namshangaa, kuna kipindi nilikuwa nampenda lkn siku hizi naona analipuka tuu bila hoja za msingi
mbowe halipwi mshahara wewe,
Huoni kuwa anastahili kwa kazi anayofanya. Actually anastahili more siyo hawa kina KHalima Mdee wanaokazania taarab ndani ya Bunge mara watoke nje ili mtradi hopeless huku majimbo yao yako hoi. Atueleze kwanza kawafanyia nini wananchi wa KAwekabla hajaanza kuuliza marupurupu ya Rais ambaye halali kwa ajili ya wananchi wake!Aliyeanzisha mada hii sio wananchi,wala wabunge;raisi mwenyewe anayependa sifa ndio alianzisha mjadala huu akithani watu mafala.
Raisi anapewa 36M kwa mwezi mkuu na anajengewa nyumba anakotaka na kulisha,kuvishwa na kulindwa maisha yake yote.
Tena wasubiri panga lao. Wala hamna cha maana wanachokifanya zaidi ya kumatch nje kila siku! Kwa kweli kwa sasa hawana hoja!Huyu Mama angekuwa anawaheshimu hao waliokuwa wanamsikiliza angenza kwa kutaja mishahara, posho na marupurupu ya viongozi wake...then ataje mshahara, marupurupu na mshahara wake yeye, kisha ndio aombe na Raisi ataje za kwake.
Jamani yaani big up! KamaRais Mh. Magufuli alivyotuambia ni hesabu rahisi tu fanya cross multiplication kama ulivyofanya atoke kule sisi tunachotaka ni maendeleo. Ngoja nasi wananch tuwavalie njuga wabunge wapunguziwe maslahi yao.Lol hawa bhna sisi hata alipwe sh ngapi kikubwa atufanyie mazuri
By the way Mdee ashasema yeye ni mbunge anahudumia wananchi wa jimbo la kawe ambao hata Milioni 2 hawafiki anapata marupurupu million 7 sasa haoni hiyo kuwa ni kubwa sana kwakwe inatakiwa apunguziwe anashindwa kujua Rais anaye hudumia wananchi woteeeee nchi nzima atakauwa anachukua kiasi gani? kama yeye wa jimbo tuu posho million saba mshahara millioni 3 huyu anajua anachokiongea kweli......Kama mzalendo aanze yeye kujipunguzia hayo marupu rupu alaaaaa