Halima Mdee amsambaratisha Magufuli

Ndugu yangu mimi nipo hapa bukoba na nina miaka zaidi ya kumi na tatu,wahaya wanachukizwa sana na dharau kwao wawe ni masikini au tajiri ukiwa na madharau hauna future ktk uongozi.Mfano ni aliyekuwa mbunge wa Nkenge Kamara alikosea kuwajibu ktk kero ya ngedere na nyani kuharibu mazao ya wananchi akawajibu hivi----KAMA MNAONA HAO WANYAMA WANAWASUMBUA BASI MUWAFANYE KITOWEO----Wahaya walikasilika vibaya na wakampiga chini.
 

Wahaya wenywe wanaongoza kwa dharau aliwajibu vzuri
 
Watu wa aina kama yako huwa siwaelewi hivi huwa mnafikili kutumia kitendea msalani?.

Anaewaza kwamba upinzani utachukua jimbo la chato bila bila shaka anatumia masaburi kufikiri Kama ww!
 
We Wa wapi. Kadi zinaoneka zipo nyingi harafu unasema moja. Acha ushabiki Wa kunguru kufatilia mizoga
 
wanachama wa magamba wengi sana wame hamia chama chenye akili(chadema)
Asante kwa kunipa maana yako ya kusambaratishwa kwa Magufuli japo bado naona imekaa kiushabiki zaidi kuliko uhalisia.
 
Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa Halima Mdee jana alitikisa Jimboni Chato kwa kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara kuwahi kuhutubiwa jimboni hapo miaka ya karibuni.

Magamba siyapendi ila kwa Magufuli hapana tusimuonee hata Mbowe aliwahi kunena hivi:

[video=youtube_share;j0xaIuEaX18]http://youtu.be/j0xaIuEaX18[/video]​
 
chato na bukoba ni wilaya mbili tofauti na zipo mikoa tofauti na chato wenyeji sio wahaya

 
Inuka, chukua godoro lako uondoke usukuleni. Ulikaririshwa kwamba huna uwezo wa kufikiri na kwamba kichwa chako kazi yake ni kubeba mdomo na pua ili ule na upumue na ushangilie ccm, nawe ukakubali. Sasa amka. CCm imekufa haipo tena. Tambua ukweli kwamba unakichwa kilichobeba uwezo wa kufikiri. Unaweza kukitumia katika kufikiri na kuamua vizuri kinyume na urithi wako kwa marehemu ccm.



Kuamini kumtoa Magufuli Chato ni uendawazimu!
 
​


Magamba siyapendi ila kwa Magufuli hapana tusimuonee hata Mbowe aliwahi kunena hivi:
Mbowe Clip - YouTube

Magufuli ndiye aliyeuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupa/jioni. Huyu bwana ameitia hasara kubwa sana nchi yetu kutokana na uamuzi wake wa kufisadi.

Mbowe amepotoka kwa kutowaambia wananchi ukweli kuhusu ufisadi wa Magufuli.

Atakapokuja Raisi mpya, Magufuli awe mtu wa kwanza kuburuzwa mahakamani kujibu mashtaka ya uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.
 

Mkuu unakumbuka hata JK alipoingia alikuja kihivyo mwisho wa siku ni Baraza la Mawaziri ndilo lilipitisha azimio la kuuza nyumba yeye akiwa mwenye dhamana na Wizara tu. Hii kitu imerudiwa mara nyingi sidhani kama hapa ni mahala pake - tafakari na uchukue hatua!
 
Maamuzi ya baraza la mawaziri hayawezi kuhojiwa?
 
Mbona watu mnabaka mada nyie..yy kaenda kuhamasisha watu wasiipigie kura rasimu ya ccm ya katiba ...hajaenda kufanya kampen za kumng'oa magufuli...mbona mna wasiwasj kama mliiba kra nyie..tumieni akili basi..!!
 

Baraza la mawaziri huchukua uamuzi baada ya waziri mhusika kutoa hoja na kuitetea.

Kama Magufuli alikuwa hakubaliani na uamuzi huo alipaswa kujiuzulu.

badala yake Magufuli alikwenda bungeni akasema uongo. Zaidi, akagawa/akauza nyumba za serikali hata kwa wasiouhusika, mfano ndugu na marafiki zake.

Hivi majuzi katibu mkuu wa ccm ndugu Kinana alikutana na kero ya ufisadi wa Magufuli. Kinana alitembelea hospitali ya serikali akakuta nyumba ya daktari iliyoko ktk eneo la hospitali imeuzwa kutokana na uamuzi wa Dr.Magufuli.

Nb:
Kikwete ni miongoni mwa waliouziwa nyumba za serikali kwa bei poa. Mimi nilijua tangu awali kwamba hawezi kutengua uamuzi ule.
 

[video=youtube_share;wphpWrHF0To]http://youtu.be/wphpWrHF0To[/video]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…