Kati ya hao walioshiriki mkutano ni wangapi wapo tayari kupiga kura? Bado na sisitiza kinachowafanya watu wajae kwenye mikutano hii ni ukosefu wa ajira. Watu wangekuwa na kazi usingewaona wakijaa kwenye viwanja hivi kusikiliza watu waliopo kwenye kazi zao.
Yaelekea huna habarei sahii za siasa za Chato,fuatilia mchakato wa ubunge uchaguzi uliopita utagundua kuwa Magufuli alipata ubunge kwa bahati sana na wakatihuo hapakuwa na harakati kama hizi lakini upinzani dhid yake ulikuwa mkali sana,unajua nabiii hakubaliki nyumbani kwao,vivyo hivyo kwa Magufuli,ni popular zaidi maeneo mengine lakini jimboni kwake hawamkubali kihivyo.Kuamini kumtoa Magufuli Chato ni uendawazimu!
Kuamini kumtoa Magufuli Chato ni uendawazimu!
Kwa Chato siwezi kushangaa kwani jamaa hakubaliki na hana ushawishi tena kutokana na mabavu yake ktk kila kitu.
bado Bavicha hawajaingia mzigoni kudadadeki magamba mtaisoma..
Kati ya hao walioshiriki mkutano ni wangapi wapo tayari kupiga kura? Bado na sisitiza kinachowafanya watu wajae kwenye mikutano hii ni ukosefu wa ajira. Watu wangekuwa na kazi usingewaona wakijaa kwenye viwanja hivi kusikiliza watu waliopo kwenye kazi zao.
bado Bavicha hawajaingia mzigoni kudadadeki magamba mtaisoma..
Tusidanganyane mdee hawed mots makufuli abadan
Kati ya hao walioshiriki mkutano ni wangapi wapo tayari kupiga kura? Bado na sisitiza kinachowafanya watu wajae kwenye mikutano hii ni ukosefu wa ajira. Watu wangekuwa na kazi usingewaona wakijaa kwenye viwanja hivi kusikiliza watu waliopo kwenye kazi zao.
Unaweza kutukumbusha magufuli alishinda kwa tofauti ya kura ngapi 2010? Ungelijua hilo usingetokwa povu hapa jf