Kuamini kumtoa Magufuli Chato ni uendawazimu!
....ninachoweza kusema ni uwezo wa chadema kuandaa wanasiasa vijana,wenye elimu nzuri,wanaojiamini,naona kwa mbele ccm itabaki bagamoyo tu.......
Kuamini kumtoa Magufuli Chato ni uendawazimu!
Kati ya hao walioshiriki mkutano ni wangapi wapo tayari kupiga kura? Bado na sisitiza kinachowafanya watu wajae kwenye mikutano hii ni ukosefu wa ajira. Watu wangekuwa na kazi usingewaona wakijaa kwenye viwanja hivi kusikiliza watu waliopo kwenye kazi zao.
jipe moyo, nmeshuhudia kwa macho yangu watu wanafunga maduka wanawah kucklza mkutano wa chademaKati ya hao walioshiriki mkutano ni wangapi wapo tayari kupiga kura? Bado na sisitiza kinachowafanya watu wajae kwenye mikutano hii ni ukosefu wa ajira. Watu wangekuwa na kazi usingewaona wakijaa kwenye viwanja hivi kusikiliza watu waliopo kwenye kazi zao.
Kuamini kumtoa Magufuli Chato ni uendawazimu!