Km kinachoendelea sasa ... Mchezo wauza ngada numeona KT had I kina mwigulu nchimbi riz uhuru Kenyatta wao wanamkamata huyu utamu wa taifa.....Makonda sijui kampa nini magufuli...yani neno lake ndio neno la mkuu...halafu kweli huwaga wanapanga kucheza na akili zetu.
Boooo...stooping too low chief. You are better than that.Halima Mdee anasema majanga hayataisha kama tusipoanza kusimamia maneno na kauli zetu.
Mimi kwenye sentesi hii ninakubaliana naye kwa sababu kama yeye angeweza kusimamia maneno na kauli zake basi hata Lowassa kwa sasa asingekuwa CHADEMA achilia mbali kumpa ugombea Urais wa maisha kwa tiketi ya CHADEMA.
Mdee aliwahi kutuambia kama CHADEMA itampokea fisadi Lowassa basi tuitose.
Kumbe Slaa alitimuliwa? Kumbukumbu zangu zinaniambia alijiuzulu. Ebu ona hapa, wao walimutimua Dr Slaa aliye jenge misingi ya CHADEMA..
Chief wangu;Boooo...stooping too low chief. You are better than that.
Kwani lazima uingize masuala ya uchama kila hoja? Yaani wewe hujaona kabisa mantiki ya hoja za Halima? Hata kama yupo CHADEMA, in your sober state, huoni nini anachokisema? Please, usiwe kama wengine.
Acha povu dr slaa si aliondoka mwenyewe sasa kuwalaumu kina Mdee inahu..Huyu anaweweseka, anachangia kwenye budget mara katoka kwenye maada kaishia kwenye madawa ya kulevya. Kesha vurugwa.
Kwenye mambo mengine huwa wanakomaa leo hii wamekuwa midebwedo.
Wanalaumu Wema kuzunguka kwenye kampeni za ccm kasha kahojiwa na polisi, wao walimutimua Dr Slaa aliye jenge misingi ya CHADEMA.
Wanahoji orodha ya makonda hawajui walio tajwa ndo haohao wauza madawa? Walitaka iitwe orodha ya Kiwete ndo watulie?
Hawa wabunge wetu tutafute jinsi ya kuwakataa kama jamii yenye nia nzuri.