Halima Mdee akimbia mahojiano Star TV

Halima Mdee akimbia mahojiano Star TV

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Leo kulikuwa na interview startv asubuhi.
Waalikwa ni...
Jafo CCM
Mgombea ACT-Wazalendo Kawe
Kingwendu
Halima Mdee.

Hadi kipindi kinaanza 7:30 Halima Mdee haonekani

Tazama startv hivi sasa.
 
Msiba mzito muwe na ubinadamu

Kituo cha tv Star Tv kinafahamika

Hapo hakuna hoja ya maana labda Jafo kidogo

Hakuna haja ya midahalo maana kampeni zimeanza waende kwa wananchi mwenye hoja atoe huko
 
Sina hakika kama kuna mwenye akili ndani ya UKAWA atatamani kwenda Star Tv. Hasa wakati huu
 
Halima mdee nikelele uongo mpaka sauti imepinda kwa kuongeya sasa kwa mahojiyano yenye ushahidi hawaze chochote ,ni vya uongo na kashifa za uongo na kuwadanganya mama nitiliye na boda
 
Star tv,ni wakweli sana kuliko ITV hao ndio wenyekupendeleya uso kwa macho hao ni chadema na wala siyo ukawa ni chadema
 
Leo kulikua na interview startv asubuhi
waalikwa
jafo ccm
mgombea act kawe
kingwendu
halima mdee.

hadi kipindi kinaanza 7:30 halima mdee haonekani

Tazama startv hivi sasa

Hizi TV Station zilizokaa kimagamba bora kuzikacha tu, hazikawii kukuzushia
 
Kwani huyo mwandishi hajajuwa kuna msiba mkubwa chadema na ukawa kipenzi chao mohammed Mtoi amewatoucher star TV waendelee tuu kuwaalika ccm na act ukawa was iende kabisa
 
Back
Top Bottom