Halima Mdee 'acharuka' Bungeni

Hivi naomba kuuliza kwa nini wabunge wa upinzani huwa dakika zao hazitoshi na wabunge wa Ccm dakika zao huwa zinawatosha na wanaziacha kiasi wanakosa cha kuongea au kuchangia wakiwa bungeni
Nondo ambazo hazichoshi kusikiliza hadi unaona kama muda ni mfupi,huyo wa kugawa tabora si umeona alivyopwaya.
 
Back
Top Bottom