Halima Mdee aachiwa huru

Ritiz ifike mahali usiache utu na akili nyumbani hupaswi kufurahia picha hiyo police wamemshika mama sehemu ya maziwa alafu wewe unasema wapigwe tu!!.acha ugamba tetea haki pumbavu ccm wote mnaowatuma police wawapige mama hawa.
 
Police kwa tukio hili la kuwadhalilisha mama hawa ambao wanapigania haki zenu,kweli ipo siku haina jina mtaanza kudondoka kama kuku!.juzi hapa mlikua mnapewa resho ya laki na ishirini kina mama hawa wa cdm wamewasemea wamepiga kelele angalau mnapewa laki na nusu,leo mnawashika maziwa mnawapiga.laana ya wamama hawa ijuu yenu washenzi nyie.
 

Mkuu unatushaurije katika hali hii ambayo Police wananyanyasa waisilamu na CDM, tuunganishe nguvu dhidi ya Police kuwapinga?
 
chagga dev manfesto aka chadema hawawezi kuuweza al shababu hata siku moja kwani wanachokitaka tofauti na al shababu au al kaida kususa msuse wenyewe leo mlete vurugu ujinga mtupu
 
Ritiz ifike mahali usiache utu na akili nyumbani hupaswi kufurahia picha hiyo police wamemshika mama sehemu ya maziwa alafu wewe unasema wapigwe tu!!.acha ugamba tetea haki pumbavu ccm wote mnaowatuma police wawapige mama hawa.
Acheni unafiki nyie Waislam walivyokuwa wanapigwa kwenye maandamano yao huo utu wenu ulikuwa wapi si mlikuwa mnawapa pongezi polisi, Ponda kapigwa risasi huo utu wenu ulikuwa wapi zaidi ya matusi au binadamu wenye kustahiki haki ni Chadema.
 
mkuu hawa jamaa ni wanafiki kweli kweli kama ulivyosema. hata mimi naona acha kwanza yawapate ili angalau wajifunze kitu.
hawa hawa ndo waliokuwa wakiwasifu polisi kwa kila jambo. walipouawa waislam mwembechai wengi walipongezana na kuwapongeza polisi kwa kazi nzuri. walipouliwa waislam zaidi ya 70 kule pemba Januari 27 2001 walipongezana kweli kweli. hawakujua kuwa nao siku yao yaja. na Pinda kashasema wapigwa tu. acha kwanza wakione cha moto ndo wajue utengano ni udhaifu na umoja ni nguvu. na mimi nasema hivi WAPIGWE TU KWA SASA ili japo uifunze kitu.

 
Hata mimi sijafurahia kabisa kitendo cha polisi kumharass Mheshimiwa.....pale Halima aliposema amealikwa ikulu na raisi ilipaswa atafutwe mtaalamu wa afya ya akili badala ya kusubiri asombe wenzake waingie barabarani......walisema wahenga PREVENTION IS BETTER THAN CURE.
 

chadema ipo kwa mipango ya mungu
 
acheni unafiki nyie waislam walivyokuwa wanapigwa kwenye maandamano yao huo utu wenu ulikuwa wapi si mlikuwa mnawapa pongezi polisi, ponda kapigwa risasi huo utu wenu ulikuwa wapi zaidi ya matusi au binadamu wenye kustahiki haki ni chadema.

chama cha cdm kinawabagua waislam.
 
Pole sana kamanda Halima,Mungu yupo nawe siku zote..pia sisi tupo nyuma yako!siku moja udhalimu utashindwa!
 
unajua unachokiandika au unaandika tuu uonekane na ww ulicoment hapa ccm ni janga la taifa

Unaposema chadema Ni mpango wa mungu unamaanisha mungu yupi huoni kuwa unatutukana watanzania
 
Polisi wanalipwa laki mbili tu bado hawajitambui hivi wakiongezewa mshahara je....

Polisi wa Tanzania ni cheap kwa CCM na wanatumika kama toilet paper. Maziro kabisa
 

Ivi halima mdee alitakiwa kukamatwa na polis wa kike? Mbona nasikia ana mke..
 
Haki itashinda tu, na si siku nyingi zijazo. Ni kawaida ukiona mzigo umeanza kuwa mzito zaidi ujue unakaribia kufika mwisho.
Napend kukutia moyo Halima Mdee na akina mama wote mliofanyiwa unyama ule na polisi kuwa historia itawakumbuka kama wanawake majasiri mliopambana na polisi wakatili kuliko wa makaburu enzi zile kudai haki ya msingi kabisa ya binadamu ya kuelezea kwa vitendo mawazo yake.
Mungu awabariki sana.
 

Binti aolewe akiwa na miaka 26! Hivi we unaakili timamu wewe! Halafu anazaa watoto wangapi sasa! Maana baada ya miaka 4 atakuwa na 30 halafu anakaribia uzeeni atazaaje tena! Usishabikie mambo kwa jazba, je nyie maliberali mnaotetea ushoga tuwaiteje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…