Kukiwa na hofu kubwa nchini kwa takribani masaa matano (5) sasa baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa wanawake wa chama cha CHADEMA Halima Mdee kukamatwa na polisi baada ya kudhalilishwa kwa kupigwa kikatili na askari polisi wanaume hatimaye nguvu ya umma imeshinda na ameachiwa huru.
Mara baada ya kukamatwa na kupigwa kisha kuwekwa rumande katika kituo cha polisi osterbay nguvu ya umma ilitikisa nje ya kituo hicho kwa akina mama maimia kwa mamia kukizunguka kituo hicho huku wakiimba nyimbo za ukombozi na kutaka mwanamama shujaa Halima Mdee aachiwe mara moja.
Akina mama hao hawakujali wingi wa polisi wala magari yaliyosheheni silaha hatimaye Mdee akaachiwa huru.
Halima Mdee alikuwa anaongoza maandamano ya akina mama wa CHADEMA kuelekea IKULU kupinga rasimu haramu ya CCM iliyopitishwa na wabunge wa CCM na vibaraka wao wiki hii.
[/QUO
Acha kudanganya watu ameachiwa kwa dhamana sio huru. Ila amepata dushelele ya nguvu, na lengo halikutimia kwani ikulu hawakufika na rais hawajamuona. So tunaweza sema mpango wao Ni FAILED

Usiweweseke na baado ukawa ndio tumeanza katiba yenu pelekeni lumumba tutaelewana tuu
Kweli mnajua kutafuta umaarufu.
Hiyo hofu kubwa ilianzia mkoa gani na kuishia mkoa gani?Mbona watu wengi hawajui kama huyo Halima alikamatwa au lah?
Acha kukuza mambo!
Hawajatenda haki alikuwa akae huko kama mwaka moja
Hofu kubwa nchi nzima!!!!!!....aisee this is too much.....mleta mada unatumika sio bure
Kukiwa na hofu kubwa nchini kwa takribani masaa matano (5) sasa baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa wanawake wa chama cha CHADEMA Halima Mdee kukamatwa na polisi baada ya kudhalilishwa kwa kupigwa kikatili na askari polisi wanaume hatimaye nguvu ya umma imeshinda na ameachiwa huru.
Mara baada ya kukamatwa na kupigwa kisha kuwekwa rumande katika kituo cha polisi osterbay nguvu ya umma ilitikisa nje ya kituo hicho kwa akina mama maimia kwa mamia kukizunguka kituo hicho huku wakiimba nyimbo za ukombozi na kutaka mwanamama shujaa Halima Mdee aachiwe mara moja.
Akina mama hao hawakujali wingi wa polisi wala magari yaliyosheheni silaha hatimaye Mdee akaachiwa huru.
Halima Mdee alikuwa anaongoza maandamano ya akina mama wa CHADEMA kuelekea IKULU kupinga rasimu haramu ya CCM iliyopitishwa na wabunge wa CCM na vibaraka wao wiki hii.
[/QUO
Acha kudanganya watu ameachiwa kwa dhamana sio huru. Ila amepata dushelele ya nguvu, na lengo halikutimia kwani ikulu hawakufika na rais hawajamuona. So tunaweza sema mpango wao Ni FAILED
Naomba ufafanuzi kwenye rangi hapo ka kuzingatia muktadha wa JF kunapokuwa kuna mamneno kama hayo .