Kipis
JF-Expert Member
- Jul 23, 2011
- 492
- 61
KIPS: Kumbe elimu ya HIV and AIDS bado huijui......Nikuulize swali moja mwenye HIV akiwa anaendesha gari na akapata ajali na kufariki kifo chake kitaandikwa kimesabishwa na nini?
Ifike wakati tubadirike wa jamani. Watu watajuaje ukimwi unatesa kisha unauwa kama wale wenye kufa na hayo maradhi tunaambiwa walikuwa wanaumwa kiharusi? kwani ngoma si kama magonjwa mengine tu kama malaria, kansa,gono kaswende na mengineyo?