njiwamanga
Member
- Oct 21, 2010
- 35
- 3
hivi dc anatakiwa awe na qualification zipi? Na hizi nafasi hutangazwa wapi
Kwani kama angekuwa ni mwanaume anayeshikilia nafasi hizo, ingekuwa sawa?
Ahsante kwa kujibu mapema, nilikuwa najaribu ku-research kama kweli wilaya hii ipo, maana you never know wilaya na mikoa inavyoongezwa siku hizi. Sie tulishazoea ileee yetu 20 na visiwani 5. Lakini sasa sijui imefikia mingapi.Hakuna wilaya inayoitwa morogoro vijijini.
Unazidi kunichanganya tu, mwanawe yupi tena huyo? Anayempa ukuu wa wilaya nne? Hebu naomba unifafanulie hapo kidogo. Mie nijuavyo 'jamaa' means Mkuu wa Kaya ana mtoto mmoja tu aliye active kwenye siasa zetu, wengine siwafahamu.tungehoji pia lakini kwa hili la mwanamke kushika wilya 4 ni maajabu ya tanzania pekee. jamaa yuko bize sana kumtafutia mwanawe dili
Hivi unajua kama mwanamama huyo anatawala wilaya nne za Kilosa,Morogoro manispaa,morogoro vijijini na Mvomero?Toka JKapangue wakuu wa wilaya mpaka sasa bado anayezitawala wilaya hizo ni huyo mwanamama.Je hakuna wengine wa kumsaidia?kwanini iwe yeye tu?
Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa mikoa hawana kazi yoyote wanayofanya zaidi ya kuongeza mzigo kwa walipa kodi.
Mtu mmoja anaweza kuwa mkuu wa wilaya au mikoa yote Tanzania na hakutakuwa na tatizo lolote kwa sababu kazi zinafanywa na Wakurugenzi wa halmashauri na maafisa tawala...