Wabunge wao hawana habari nao.Wanafikiria kujiongezea posho tu.Sijui nini msimamo wa mbunge wa Namtumbo Vita Kawawa kuhusu posho wakati mama na dada zake wanajifungulia mavumbini kama panya!
Tunalipa kodi kwa serikali ambayo nayo hupaswa ku-provide better services kwa wananchi! Je ndicho kinachofanyika? Kodi hatulipi? Kama tunalipa, hazitoshi? Kama zinatosha, zinatumikaje? Jibu= kujiongezea posho, sherehe za 64bn/-, safari za nje zisizokuwa na tija nk nk.Kama nakumbuka vizuri kuna wakati Mwanakijiji alikuwa na effort ya kuongeza vitanda kwa wagonjwa. Sijui iliishaje. Sio lazima kila kitu kiachwe kwa serikali, especially kama serikali yenyewe hopeless.
Tunafanya nini kusaidia wagonjwa kama Watanzania?
hospitali ya mkoa iringa imesimamisha huduma za kawaida kwani serikali (hazina) haijapeleka fedha msd za kutosha kwa miezi mitatu mfululizo. Hospitali ilikuwa inapokea kiasi cha mil 33 kwa mwezi kwa ajili ya madawa , lakini tangu sept 2011 imepeleka mil 28 tu. Hospitali imeshindwa kujiendesha kama kawaida. Huduma ni kwa zile za dharura tu. (emergencies)
Hospitali ya Mkoa Iringa imesimamisha huduma za kawaida kwani serikali (hazina) haijapeleka fedha MSD za kutosha kwa miezi mitatu mfululizo. Hospitali ilikuwa inapokea kiasi cha mil 33 kwa mwezi kwa ajili ya madawa , lakini tangu Sept 2011 imepeleka mil 28 tu. Hospitali imeshindwa kujiendesha kama kawaida. Huduma ni kwa zile za dharura tu. (Emergencies)
Kama nakumbuka vizuri kuna wakati Mwanakijiji alikuwa na effort ya kuongeza vitanda kwa wagonjwa. Sijui iliishaje. Sio lazima kila kitu kiachwe kwa serikali, especially kama serikali yenyewe hopeless.
Tunafanya nini kusaidia wagonjwa kama Watanzania?
Kumbe tunajua serikali yenyewe ni hopeless? Why do we keep voting it in? Mi nadhani sie wenyewe ndo tuna tatizo! Inafika wakati tuvune tulichopanda manake hatujifunzi kutokana na makosa. Hao wamama wanaojifungua nje kwenye mvua walimchagua rais wao,ndo anawatumikia hivyo!