Nadhani unaongea kujifurahisha, soma historia za crusades itajua kwanini karne za kati uislamu ulifutwa ulaya hasa spain! haya mambo ya kupigwa shavu la kulia na ukageuza la kushoto nadhani wengi hawajaelewa manake nini. Siku zaja kitaeleweka tu! Bahati yenu bush alitoka madarakani mngejua lengo lake halisi!
wapo ambao wanazomea ,na wakiendelea uvumilivu utatushinda kwani hatuwezi kukaa kimya muislamu mwenzetu akinyanyaswa na Kafir wa CHADEMA.
Haki sawa kwa wote na sio maaskofu kumdhalilisha rais wetu.
mioyo yao imejazwa na chuki, sitamani kuwa kwenye majibizano nao kwani sitakuwa tofauti nao. Maisha yao hayana amani, wanataka kuambukiza wote ugonjwa wao mbaya wa chuki. Mshindwe kwa jina lake Bwana Yesu Kristo.