Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,786
- 7,567
Wakuu,
Kama mnavyojua tumetoka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa tunauchungulia Uchaguzi Mkuu pale Oktoba 2025. Tumeshuhudia karibia na uchaguzi wa serikali hali ya media ilivyokuwa, Mwananchi walishika 'sharubu' wakapumzishwa kwa mwezi wale urojo kidogo, jambo nao walikuwa wakijifanya 'kimbelembele' kuhoji kila kitu, wakalimwa barua.
Tuliona Mkurugenzi wa Dar 24 ikiwa ni moja ya tukio lilihohusisha mtu wa media halafu tukaambiwa ni mambo ya biashara na watu anawajua halafu jambo likaishia juu juu, hatukuona connection yoyote ikihusika na kazi yake. Za chini chini ni kuwa jamaa alikuwa anafanya kazi na CHADEMA, pesa zao kutoka nje zilikuwa zinapita kwa jamaa ndio wanazipokea. Sijui kama ni kweli ila habari ni hiyo, kwa namna fulani ina make sense maana suala la biashara ilikuwa kama ni janja janja ya kutotuambia ukweli.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ila pia tuliona uchawa mkubwa kwa vyombo vya habari kuegemea upande mmoja, kupendelea kurusha habari za CCM zaidi huku CHADEMA wakipata coverage kidogo, wizi wa kura ukiripotiwa zaidi na wananchi pamoja na online media na si vyombo vya habari kama TBC and the like.
Tutarajie nini sasa uchaguzi mkuu ukiwa unanukia?
Matukio ya vyombo vya habari kuelekea 2025
2024
JANUARI
Kama mnavyojua tumetoka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa tunauchungulia Uchaguzi Mkuu pale Oktoba 2025. Tumeshuhudia karibia na uchaguzi wa serikali hali ya media ilivyokuwa, Mwananchi walishika 'sharubu' wakapumzishwa kwa mwezi wale urojo kidogo, jambo nao walikuwa wakijifanya 'kimbelembele' kuhoji kila kitu, wakalimwa barua.
Tuliona Mkurugenzi wa Dar 24 ikiwa ni moja ya tukio lilihohusisha mtu wa media halafu tukaambiwa ni mambo ya biashara na watu anawajua halafu jambo likaishia juu juu, hatukuona connection yoyote ikihusika na kazi yake. Za chini chini ni kuwa jamaa alikuwa anafanya kazi na CHADEMA, pesa zao kutoka nje zilikuwa zinapita kwa jamaa ndio wanazipokea. Sijui kama ni kweli ila habari ni hiyo, kwa namna fulani ina make sense maana suala la biashara ilikuwa kama ni janja janja ya kutotuambia ukweli.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ila pia tuliona uchawa mkubwa kwa vyombo vya habari kuegemea upande mmoja, kupendelea kurusha habari za CCM zaidi huku CHADEMA wakipata coverage kidogo, wizi wa kura ukiripotiwa zaidi na wananchi pamoja na online media na si vyombo vya habari kama TBC and the like.
Tutarajie nini sasa uchaguzi mkuu ukiwa unanukia?
Matukio ya vyombo vya habari kuelekea 2025
2024
- Waandishi wawili wa Jambo Tv wakamatwa na Polisi Mbeya akiwa kwenye majukumu yao ya kikazi
- Wajibu Wa Vyombo vya Habari katika Uchaguzi
- Waandishi 2 kutoka Mwananchi Communications na 1 wa EATV wakamatwa na Jeshi la Polisi
- Mwandishi wa EATV asimulia alivyokamatwa na polisi wakati wa maandamano "Nilizuiwa kuongea na simu"
- Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yasitisha Leseni ya Mwananchi kutoa maudhui mtandaoni kwa siku 30
- Mwandishi wa Jambo TV afokewa vikali kisa kuliza swali tukio la kupigwa risasi Lissu
- TCRA yailima Barua Jambo TV kwa kurusha taarifa za Tundu Lissu na Kabendera kuhusu shutuma kwa Tigo na Vodacom
- Mkurugenzi wa TAMISEMI: Waandishi wa habari msitumie neno "Kukatwa Wagombea", ni kinyume na kanuni za Uchaguzi
- Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, Waandishi wa habari wekeni pembeni mapenzi yenu kwa vyama vya siasa
- TAMISEMI yawanoa Waandishi wa Habari Mtandaoni (Online TV) kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuhakikisha hawatoi taarifa kwa upendeleo
- Mjadala JamiiForums & Star TV: Nafasi ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi wa Seriali za Mtaa
- Je Vyombo vya Habari Viliwatendea Haki Watanzania Kuwaelimisha Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?. Mimi na PPR Yangu, Tulijitolea Vipindi 6 vya TV.
JANUARI
- Wasafi, Clouds na Kitenge ni matambara ya kudekia ya CCM, kusafisha matapishi na uchafu wote unaomwagwa mbele yao!
- Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media
- Mbowe: Hawa wanaongea uzushi uzushi kila siku kwenye vyombo vya habari baada ya Uchaguzi tutawashughulikia
- Kwanini TBC hawarushi Live mkutano mkuu wa CHADEMA? Je, hiki ni chombo cha CCM au Watanzania wote?
- Hongera Rais kwa kuimarisha demokrasia nchini. Hakuna tv yoyote ingeruhusiwa kurusha mkutunano wa CHADEMA
- Kuelekea Mkutano wa Katibu Mkuu CHADEMA; Waandishi wa Habari wazuiwa na kuondolewa eneo la mkutano makao makuu ya chama
- Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia
- Handeni: DC Msando aamuru mwandishi wa habari kukamatwa na kazi zake kufutwa kwenye camera
- Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa?
- Wasafi Media ishakuwa media ya CCM, wame-brand magari yao kwa rangi za CCM, kuelekea miaka 48 ya chama hicho
- Kuepuka Media House kufungiwa, Lissu asihojiwe live, mrekodini kwanza mhariri kisha mrushe hewani. Lissu ni risk factor kwa media
- TCRA, TEF kwanini hawakemei waandishi na watangazaji wanaojihusisha na siasa wazi wazi?
- Online TVs zimekuwa compromised na CCM? Anachofanya Baba Levo kuhusu ''Mama Hana Deni'' ni kampeni kwa Rais Samia na CCM kuelekea uchaguzi mkuu
- EFM wanalipwa kueneza chuki dhidi ya wapinzani kipindi hiki cha uchaguzi? Wananchi Ikungi wapewa script waseme wanamchukia Lissu
- Global TV, Jambo TV, EATV na wengine wamepitishiwa vibunda kumchafua Lissu? Wapost habari kusambaza chuki dhidi yake
- TCRA: Mwandishi anayetaka kugombea nafasi ya uongozi kwenye siasa anapaswa kuacha kazi
- John Heche: Vyombo vya habari vinafanya upendeleo. Wakifanya coverage ya upinzani wanafanya negative stories
- Tathmini ya Vyombo vya Habari kuhusu kuripoti matukio ya kisiasa nchini Februari 2025
- Tundu Lissu: Vyombo vya Habari havitendi haki kwa Vyama vya upinzani, vyote vinakuwa vya CCM
- CHADEMA wameanza kutumia vyombo vya habari vizuri kuliko huko nyuma
- Joseph Kusaga: Mwaka 2025, Mama ndiye Rais wetu
- TCRA yataka Vyombo vya Habari kuripotiwa uchaguzi bila upendeleo
- Mwenyekiti wa TEF, Balile: Uhuru wa Vyombo vya Habari waimarika chini ya Rais Samia
- Naibu Waziri wa habari (Mwana FA), avitaka vyombo vya habari kuripoti bila kuhamasisha kususia uchaguzi
- Vyombo vya Habari visitumike kudhoofisha vyama vya upinzani. Vitangulize weledi kwa maslahi ya umma
- Taasisi ya Vyombo Vya Habari (MISA- TAN) yataka waandishi wa habari kuweka hadharani msimamo wao kugombea kwenye Uchaguzi
- THRDC: Wanahabari wapewe maarifa ya kisheria kuelekea uchaguzi mkuu 2025
- Vyombo vya habari kutumika kwenye uchaguzi ni kudidimiza Demokrasia, tutawakosa viongozi bora
- Tuzo za Kalamu ya Samia zimezika Uhuru wa Vyombo vya Habari, kuna aliyepewa tuzo atakuwa na ubavu wa kumkosoa Rais?
- Mhariri Daily News: Acheni kunyamazisha Uhuru wa Vyombo vya Habari, Waandishi sio Kero ni Daraja. Serikali kutoa taarifa sio ombi ni wajibu
- ITV, Azam na wengine mmekuwa wanafiki? Press za G55 mnaonesha kwa airtime ya kutosha lakini mikutano ya CHADEMA kimya!
- Kesi ya Lissu inaendelea TBC kimya! Mpo kwa maslahi ya nani kama jambo kubwa linalogusa usalama wa taifa mnalifungia vioo?
- Kesi ya Lissu imesababisha mtandao kuminywa leo? Dawa yenu ipo jikoni, hamuwezi kushindana na teknolojia
- Unafiki wa media za Bongo kuhusu Gwajima, zimejikita kwa Jerry utafikiri hawakuona ya Gwajima
- Pre GE2025 - The Chanzo yaondoa Maudhui ya Askofu Gwajima YouTube Kufuatia wito wa TCRA
- Baadhi ya Wanahabari wazuiwa kuingia kwenye Kesi ya Lissu; waambiwa wameruhusu 10 pekee
- Serikali iwe makini sana na hivi vyombo vikubwa vya habari km ITV na Mwananchi, hasa Mwananchi kipindi hiki cha uchaguzi wadhibitiwe, not friendly
- Pre GE2025 - Waandishi nao wamejitosa kwenye kampeni ya ku push hashtag, ya Kutiki Oktoba
- Pre GE2025 - Waandishi wa Habari watolewa nje ya chumba cha Mahakama kunakosikilizwa kesi ya Tundu Lissu Kisutu
- Pre GE2025 - Patrick Kipangula: Waandishi wa Habari wasiosajiliwa na Bodi ya ithibati kukutana na Rungu la TRA
- Pre GE2025 - DSM - Polisi kuzuia waandishi/vyombo vya habari kutekeleza majukumu yao kwenye Mkutano wa CHADEMA, Seashells Millennium ni kukandamiza sauti za upinzani
- Pre GE2025 - DSM - Mtangazaji wa Clouds FM, Khaan Mbarouk: Alichofanya Mpina ni utovu wa nidhamu mbele ya Rais na Mwenyekiti wa CCM
- Pre GE2025 - Patrick Kipangula: Waandishi watakaogombea Uchaguzi Mkuu wasijihusishe na Majukumu ya kihabari
- Hatua za CCM zasababisha kudhoofika kwa vyombo vikuu vya habari? (Mainstream Media)
- GE2025 - Magazeti nchini ni kibogoyo, hakuna lililothubutu kuandika kuhusu maoni ya Humphrey Polepole uteuzi wa Rais Samia kuwania urais
- CCM kuwaweka waandishi wa habari ukumbini kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku sio uungwana, waombe radhi
- Kailima asema INEC itafanya kazi kwa karibu na Waandishi wa Habari kipindi chote cha Uchaguzi Mkuu 2025
- TCRA: Vyombo vya Habari vizingatie miongozo na kanuni za uandishi wa habari kuelekea Uchaguzi Mkuu
- GE2025 - Kigoma: Wanahabari wafundwa kuhusu usalama kipindi cha uchaguzi
- GE2025 - Kailima asema INEC itafanya kazi kwa karibu na Waandishi wa Habari kipindi chote cha Uchaguzi Mkuu 2025
- GE2025 - TCRA: Masuala ya uchaguzi siyo kama kutangaza mpira, waandishi hakikisha hujatia chumvi au kusisitiza vitu ambavyo havipo
- GE2025 - IGP Wambura: Usalama wa Waandishi wa Habari ni kipaumbele cha Jeshi la Polisi
- GE2025 - Msemaji wa Polisi: Wanahabari msiwape nafasi wanaotoa maneno ya kuingiza wananchi barabarani
- GE2025 - Msigwa: Vyombo vya Habari vitoe nafasi kwa wagombea bila upendeleo
- GE2025 - Wagombea Urais kupewa magari na INEC na ZEC inaleta taswira gani kwa wapiga Kura?
- GE2025 - Dotto Bulendu: Wanahabari wametekeleza wajibu wao kuelekea uchaguzi mkuu
- GE2025 - JAB: Ezekiel na Baraka wanaoshikiliwa na Polisi SIO waandishi wa habari, hawajawahi kujisajili! Hawana hadhi ya kutambulika kama waandishi
- GE2025 - Polepole: Vyombo vikubwa vya Habari vimepewa vitisho na TCRA kutozungumzia mambo ya msingi kwenye uchaguzi
- GE2025 - Humphrey Polepole: Waandishi waandamizi walipewa mlungula na Serikali siku ya tuzo za 'Samia Kalamu', na umeanza kufanya kazi kwenye uchaguzi
- GE2025 - Uchaguzi Mkuu 2025 na uandilifu wa Vyombo vya Habari Tanzania
- GE2025 - Msimamizi wa uchaguzi Ruangwa atoa wito kwa vyombo vya habari kuzingatia maadili ya taaluma
- GE2025 - ZAMECO yalaani hatua za kudhibiti Vyombo vya Habari, yatetea Haki ya kupata Taarifa kipindi cha Uchaguzi
- GE2025 - Wakuu wa vyombo vya habari wahimiza amani kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025
- GE2025 - Vyombo vya Habari Tanzania kuipa kisogo 'speech ya Askofu Gwajima; Ni kwa maslahi ya nani?
- GE2025 - Vyombo vya habari vikubwa kuweka hitimisho la kampeni za mgombea wa CCM 'Front page' ni wajibu, mapenzi au maagizo?
- GE2025 - Mainstream Media zinafanya upotoshaji kwa kuripoti zoezi la kupiga kura ili watu wasijitokeze barabarani
- GE2025 - Hasira za wananchi kwa Media za Tanzania kukaa kimya kuhusu Mauaji na vurugu zilizokuwa zinaendelea Uchaguzi Oktoba 29
- Media za Tanzania mko wapi? Ni kama mnaishi nchi nyingine! Wote mpo kimya juu ya unyama uliofanywa kwa Watanzania. Hatutasahau!
- GE2025 - Arusha: Mwandishi wa Habari ambaye pia ni Mmiliki wa Kusaga Tv na Mwandishi wa AyoTv wakamatwa na Polisi
- GE2025 - Deodatus Balile: Waandishi wa habari tulishindwa kuendelea kuripoti Matukio Oktoba 29 sababu ya Mtandao kuzima
- GE2025 - Edwin Soko: Waandishi wa habari walijawa hofu ya Sheria za nchi na Maadili kuripoti Matukio Oktoba 29
- PostGE2025 - Tasnia ya Habari nchini ina ujinga wa hali ya juu tokea nchi pate Uhuru mwaka 1961. Jukwaa la wahariri liwajibike kwa madhila ya 29.10.25
- Rais Samia: Tutaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari ili watanzania wapate haki ya taarifa
- PostGE2025 - Haya ni maajabu! Hakuna media yoyote imepost kanusho la Wizara ya Afya kuhusu miili Hospitali ya M/Nyamala. Kuna nini?


