Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,248
- 15,069
Sa unajiona ulivyo mjinga nimekuliza umeleta matusi sa wewe kilaza unajua nini kuliko mimi ungekuwa na elimu ungesema ndege za Israel zilingia Iran wakati Iran wenyewe wamesema hakuna ndege za Israel zilizo ingia anga la. Wewe unaleta utumbo eti mbunge wa Iran ndio kasema hayo nimeomba dalili huna fala mmoja wewe utabaki kuwa kenge tu.Halafu kilaza tandale kwa mtogole unashupaza mishipa hujui lolote. Nyie hampendi elimu kabisa. We upo jeshi lipi la Irani? Upo tu unajinyea hapo na kinjunga chako na makobazi sana sana umefuga tu ndevu huna lolote. Apeche alolo unavizia maulid na ndizi mfukoni.
Halafu kilaza tandale kwa mtogole unashupaza mishipa hujui lolote. Nyie hampendi elimu kabisa. We upo jeshi lipi la Irani? Upo tu unajinyea hapo na kinjunga chako na makobazi sana sana umefuga tu ndevu huna lolote. Apeche alolo unavizia maulid na ndizi mfukoniSa unajiona ulivyo mjinga nimekuliza umeleta matusi sa wewe kilaza unajua nini kuliko mimi ungekuwa na elimu ungesema ndege za Israel zilingia Iran wakati Iran wenyewe wamesema hakuna ndege za Israel zilizo ingia anga la. Wewe unaleta utumbo eti mbunge wa Iran ndio kasema hayo nimeomba dalili huna fala mmoja wewe utabaki kuwa kenge tu.
Acheni uongo aisee uongo haukusaidii kitu.Dah. Kiongozi, wakarudi kunyonyesha watoto wao 🤣🤣🤣. Sure wanawake walishiriki kwenye yale mashambulizi. Halafu vingi ni vitoto vya umri wa 20s tu hivi hata hawawagi wakubwa. Ila Iran wamejitajidi sana kuficha madhara ya yale mashambulio. Walioniacha hoi ni wale walioingia ndani ya moja ya maeneo ya ulinzi/usalama ya Irani wakati masahambulizi yanaendelea, na kuondoka na nyaraka. Raia wanapumbazwa na milipuko huku wahuni wameshuka ardhini na kuondoka na mafaili. Israel ni habari nyingine aisee
Wewe ni katika watoto walio zaliwa wakati wa kipindupindu ndio mana ukiulizwa tomato unajibu vitunguu. Unaongea utumbo ukiulizwa huo utumbo wa mbuzi au wango'mbe huna jibu.Halafu kilaza tandale kwa mtogole unashupaza mishipa hujui lolote. Nyie hampendi elimu kabisa. We upo jeshi lipi la Irani? Upo tu unajinyea hapo na kinjunga chako na makobazi sana sana umefuga tu ndevu huna lolote. Apeche alolo unavizia maulid na ndizi mfukoni
Ni Marekani msitudanganye wakipuuza nyieIla mayahudi watabe sana. Kaingia Gaza kachapa; kaingia Lebanon kajipigia; kaingia Syria kafumua; kaingia Yemen katandika!