Hali ya usalama wa nchi kwa sasa

Hali ya usalama wa nchi kwa sasa

AM BACK

Member
Joined
May 29, 2015
Posts
5
Reaction score
0
Katika siku za hvi karibuni, kumekuwa na matukio mbali mbali yanayoashiria kuwepo kwa hali ya kutokuwa salama katika siku zijazo.

Miongoni mwa viashiria hvyo ni kuvamiwa kwa vituo vya Polisi na kuporwa kwa silaha, je tunajua hizo silaha zinaenda wapi na zijezitumike vipi? Haya ni maswali yakujiuloza. Pia mara kwa mara tumeckia watu wanaozaniwa AL-SHABAB wameingia katika nchi yetu hili nalo tunalichukuliaje?

Mimi kwa upeo wangu nafikili kwa sasa hatunabudi kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kuimarisha usalama wa nchi yetu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu Tubariki Watanzania
 
Ujambazi unarudi kwa kasi kama ulisikia juzi tu askari kauliwa akilinda NMB Mkuranga. Akili zetu zinawaza watia-nia.
 
Naona wameutenga uzi wako kama hawauoni vile, lakini usujali bali jua walioko humu wengi ni makudi na wachacha ni watanzania halisi,
 
Hapa muhimu ni kuthibiti haya makundi ya wahamiaji haramu kutoka nchi za Somalia, Ethiopia nk. hao jamaa wanakuja huku wakiwa na Culture tofauti na za huku kwetu.
wao wamezoea kuuana kama jambo la kawaida tu, sasa tusiache mbegu zao ziendelee kukua hapa nchini kwetu, zitaenea kama magugu maji yalivyosambaa juu ya ziwa Victoria.
yataifishwe magari yote yanayobeba hawa watu, wamiliki wa haya magari pia wakamatwe na kufunguliwa mashtaka, tuache kucheza na ngedere kwenye shamba letu la mahindi tutavuna mabua.
 
Katika siku za hvi karibuni, kumekuwa na matukio mbali mbali yanayoashiria kuwepo kwa hali ya kutokuwa salama katika siku zijazo.

Miongoni mwa viashiria hvyo ni kuvamiwa kwa vituo vya Polisi na kuporwa kwa silaha, je tunajua hizo silaha zinaenda wapi na zijezitumike vipi? Haya ni maswali yakujiuloza. Pia mara kwa mara tumeckia watu wanaozaniwa AL-SHABAB wameingia katika nchi yetu hili nalo tunalichukuliaje?

Mimi kwa upeo wangu nafikili kwa sasa hatunabudi kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kuimarisha usalama wa nchi yetu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu Tubariki Watanzania

subiri vyombo vyenye dhamana ya kufanya tathmini ya hali ya usalama nchi vitatoa tamko
 
Hapa muhimu ni kuthibiti haya makundi ya wahamiaji haramu kutoka nchi za Somalia, Ethiopia nk. hao jamaa wanakuja huku wakiwa na Culture tofauti na za huku kwetu.
wao wamezoea kuuana kama jambo la kawaida tu, sasa tusiache mbegu zao ziendelee kukua hapa nchini kwetu, zitaenea kama magugu maji yalivyosambaa juu ya ziwa Victoria.
yataifishwe magari yote yanayobeba hawa watu, wamiliki wa haya magari pia wakamatwe na kufunguliwa mashtaka, tuache kucheza na ngedere kwenye shamba letu la mahindi tutavuna mabua.
Ni kweli mkuu hawa wageni wapo kibao hapa nchini juzi nilikuwa k/koo mtaa wa sikuu nashaanga kila duka ninaloingia ni wasomali huwezi amini hata nilichofuata hata sikinunua kwenye maduka maana wale sio binadam hata kidogo!!
 
Naona wameutenga uzi wako kama hawauoni vile, lakini usujali bali jua walioko humu wengi ni makudi na wachacha ni watanzania halisi,

amesikika mkuu wenyewe wanatafuta chanzo cha habari kwanza ndipo watamshukia mleta uzi
 
Back
Top Bottom