P PERAMIHO YETU JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 6,288 Reaction score 17,331 Jan 16, 2022 #1 Kiukwel awamu hii hatutaacha kuiona rangi juu yankukatika kwa umeme Pia mods tunaomba thread hii isiunganishwe na uzi wa tanesco Kwan hakuna msaada tuupatao kwa kadhia hii yakukatika kwa umeme Naanza mm muda huu mbezi beach umeme umekatika yaan unakuja baada ya muda fulan unarud Asubuh nilikuwa mbagala kilungule nako umeme haukuwepo Vip huko kwenu Hali ipoje
Kiukwel awamu hii hatutaacha kuiona rangi juu yankukatika kwa umeme Pia mods tunaomba thread hii isiunganishwe na uzi wa tanesco Kwan hakuna msaada tuupatao kwa kadhia hii yakukatika kwa umeme Naanza mm muda huu mbezi beach umeme umekatika yaan unakuja baada ya muda fulan unarud Asubuh nilikuwa mbagala kilungule nako umeme haukuwepo Vip huko kwenu Hali ipoje
Eng. Zezudu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 8,367 Reaction score 12,359 Jan 16, 2022 #2 Hata uku kwetu umeme umekatika umerudi Tena, Mbona kipindi Cha jiwe ujinga huu wa kukata umeme ovyo haukuwepo, mama Samia, waziri wa nishati anzeni kuwa tumbua watu.
Hata uku kwetu umeme umekatika umerudi Tena, Mbona kipindi Cha jiwe ujinga huu wa kukata umeme ovyo haukuwepo, mama Samia, waziri wa nishati anzeni kuwa tumbua watu.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,984 Reaction score 189,583 Jan 16, 2022 #3 Kwa sasa umeme upo japo naamini muda huu na type hii reply technician wa umeme anaenda kuchomoa wire.
Kwa sasa umeme upo japo naamini muda huu na type hii reply technician wa umeme anaenda kuchomoa wire.
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,576 Reaction score 29,713 Jan 16, 2022 #4 WAMEKATA SASA HIVI BAADA YA KUKATA NA USIKU PIA
park don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 4,952 Reaction score 7,096 Jan 16, 2022 #5 Nmekaa apa kwa waswas watakata tena TANESCO waje huku....
S Sanze M JF-Expert Member Joined Jul 20, 2021 Posts 4,138 Reaction score 8,642 Jan 16, 2022 #6 Wazee wa legacy aka sukuma gang mnateseka sana.
Satoh Hirosh JF-Expert Member Joined Mar 30, 2021 Posts 7,238 Reaction score 29,555 Jan 16, 2022 #7 Nipo zangu Banda la Mpira nacheki mechi ya yanga na coast Union, tanesco wameshakata kipindi cha pili kikiendelea
Nipo zangu Banda la Mpira nacheki mechi ya yanga na coast Union, tanesco wameshakata kipindi cha pili kikiendelea
P PERAMIHO YETU JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 6,288 Reaction score 17,331 Jan 16, 2022 Thread starter #8 Sjui tanesco wanashida gani jaman Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app