Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,593
Guys,
Hivi mshawai kujiuliza ,Hali ya Tanzania ingekuwaje kama MO29 isingetokea?
Binafsi MO29 imebadili political atmosphere ya Tanzania Kwa Hali ya juu. Kama MO29 isingetokea haya ndo yangekuwa matokeo yake.
1. Samia angekuwa ashaanza ziara za kuwashukuru wapiga kura hewa wake, angekuwa anazunguka na kutupa vijembe Kwa Chadema waliogomea uchaguzi.
2. Samia angekuwa kashasafiri sana nje ya nchi, angekuwa anazurura Europe, America na Asia Kwa kigezo Cha kufungua nchi, ila kutokana na MO29 ata Kenya hawezi kanyaga, kwenye mikutano ya UN ,world Economic forum huko hatopeleka pua Tena.
3. Kejeri, majigambo, dharau za machawa na wapambe wa Samia, Stivin Wassira, Chalamila,Steve Nyerere wangekuwa wanabwatuka hovyo, ila kutokana na MO29, nyumba ya Wasirra ilipigwa kiberiti, sahivi anaishi kama digidigi, dharau zote kwisha.
4. CHAUMMA wangekuwa wanatamba aswaaa, watu hawajui baada ya MO29, CCM walipanic Hadi kuwasahau kuwapa majimbo vibaka wa CHAUMMA. Mwisho wa siku kina Moza Ally, Catherine Ruge, Susana Kiwanga, Aisha Madoga wamekosa viti maalumu , Hadi sahivi wanaogopa kutoa ata kichwa.
Je Hali ingekuwaje kama MO29 hisingekuwepo?
1..........