G Godwine JF-Expert Member Jan 15, 2010 1,371 281 May 29, 2011 Thread starter #41 Duduwasha said: Mwambie aache kuongopa bungeni na kwa wananchi.. anajua alitendalo ajue Ataadhibiwa hapa hapa Duniani. yupo kwa ajili ya wananchi sio wajinga waliompa ripoti ya mauaji Arusha shame zao Click to expand... lakini tatizo ni la jeshi letu la polisi walimpa taharifa zisizo sahihi za kientelligencia
Duduwasha said: Mwambie aache kuongopa bungeni na kwa wananchi.. anajua alitendalo ajue Ataadhibiwa hapa hapa Duniani. yupo kwa ajili ya wananchi sio wajinga waliompa ripoti ya mauaji Arusha shame zao Click to expand... lakini tatizo ni la jeshi letu la polisi walimpa taharifa zisizo sahihi za kientelligencia
K kilombero yetu JF-Expert Member May 6, 2011 1,004 116 May 29, 2011 #42 DK SLAA anaumwa sawa na pinda?
Caroline Danzi JF-Expert Member Dec 19, 2008 3,713 1,263 May 29, 2011 #43 Humundani kuna kila aina ya burudani. Kufa kunatokea wapi? Hivi hata akifa habari zitatoka sumbawanga? kazi kweli kweli!
Humundani kuna kila aina ya burudani. Kufa kunatokea wapi? Hivi hata akifa habari zitatoka sumbawanga? kazi kweli kweli!
Leonard Robert JF-Expert Member Apr 22, 2011 11,064 7,196 May 29, 2011 #44 niliyonayo kuhusu kuhusu hawa jamaa watibiwa nje,nikiyamwaga hapa jamvin nitawakatisha tamaa,ngoja niuchune.
niliyonayo kuhusu kuhusu hawa jamaa watibiwa nje,nikiyamwaga hapa jamvin nitawakatisha tamaa,ngoja niuchune.
G Godwine JF-Expert Member Jan 15, 2010 1,371 281 May 30, 2011 Thread starter #45 tumaini letu said: DK SLAA anaumwa sawa na pinda? Click to expand... lete habari jamvini