Mwanaume fanya kazi acha lawama!
Mh...! kweli wewe feos buku! Inamaana akifanya kazi atapata umeme na maji? :shock:
hali inazidi kuwa mbaya, thamani ya tsh. inazidi kuporomoka, na bado eti tunatakiwa tuvumilie miaka mi 4! . . .
Mwanaume fanya kazi acha lawama!
feis buku hizi picha kwenye avatar zako zinanifanya mapigo ya moyo yaende mbioMwanaume fanya kazi acha lawama!
WAMEZOEA KULALAMIKA KILA KITU SERIKALISERIKALI!! IWATANDIKIE KITANDA,IWAAMSHE ASUBUHI,IWATAWAZE LOh!!!Analalamika leo wakati umeme umeboreka?Maji ni jambo la siku zote.Fanyeni kazi acheni kulalama.OTIS.
yaache yaende mbioo!! Yakifika chalinze yanisubiri niyajoin!!!feis buku hizi picha kwenye avatar zako zinanifanya mapigo ya moyo yaende mbio
Green guard leo umepangiwa shift ya mchana??Analalamika leo wakati umeme umeboreka?
Maji ni jambo la siku zote.
Fanyeni kazi acheni kulalama.
OTIS.
mabroiler wa kitabu sura mmeathiriwa na organic foods.Mwanaume fanya kazi acha lawama!