Hali ya mwanza na wamachinga

Hali ya mwanza na wamachinga

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,002
Reaction score
72,284
Hakuna pa kupita watu wa miguu
Malizeni yale masoko haraka mnajenga vitu gani haviishi nyie

IMG_0232.jpg

IMG_0230.jpg

IMG_0229.jpg

IMG_0224.jpg

IMG_0225.jpg

IMG_0227.jpg

IMG_0228.jpg
 
Watu wenye vizimba sokoni wanalalamika wachuuzi hawataki kukaa ndani kila mtu anataka akae mbele...

Sokoni hawauzi

Utaratibu wa wapi huu?

Tutoke barabarani wakae kwenye vizimba rasmi

Wateja watazoea na watawafuata huko...ndio utaratibu
 
Serikali ikicheka nao tuendako itakuwa kasheshe lazima watu wafanye shughuli zao kwa utaratibu.
 
Back
Top Bottom