Maelezo yamejitoshelezaMmh kivp? ufafanuz kidogo mkuu
Anaongea na majiniKuna jamaa yangu age yake ni kati ya miaka 29-30, huyu jamaa shida yake muda wote kuongea peke yake tena, muda mwingine Kwa vitendo kabisa.
Yaani huyu jamaa anaweza kuanza kuelezea mipango yake labda anayoenda au anayotaka kuifanya badae kiasi kwamba ukajua kila kitu. Au mnaweza mkawa mmepiga story fulani ukiondoka bado anaendelea kuiongea wakati we ushaondoka🤣
Na jamaa kiakili yuko poa kabisa. Hana tatizo lolote la akili. Sasa wataalamu hii hali Inatokana na nini hasa?
sonona ni stress, mawazo....Fafanua kidogo mkuu
Umejuaje kua jamaa yuko poa kabisa na hana tatizo lolote la akili?Na jamaa kiakili yuko poa kabisa. Hana tatizo lolote la akili. Sasa wataalamu hii hali Inatokana na nini hasa?
Umenichekesha sana mkuu. Eti hana tatizo lo lote la akili wakati anajiongelesha peke yake tena wakati mwingine kwa vitendo kabisa...😁😁😁Na jamaa kiakili yuko poa kabisa. Hana tatizo lolote la akili.
Hata hilo la kuongea peke yake ni effective pia?Kwasababu anafanya mambo yote effective kabsa kama kawaida bila shida ila Hilo la kuiongea peke yke tu.