Hali ya mtoto cesilia ni mbaya arudi bila kufanyiwa operesheni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya mtoto cesilia ni mbaya arudi bila kufanyiwa operesheni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee Wa Rubisi, Oct 12, 2011.

 1. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Mtoto Cecilia alitangazwa hivi karibuni na Vituo mbali mbali vya habari akiomba msaada wa kusaidiwa pesa za matibabu ambazo zingeweza kumwezesha kufanyiwa operesheni ya moyo ambao umempelekea mpaka Tumbo lake kuvimba kama unavyoliona.


  Taarifa za Cecilia ziliweza kutolewa na Miss Tanzania wa mwaka 2006 Bi. Hoyce Temu pale alipoamua kujitokeza na kumtangaza Cecilia akiomba msaada huo. Wasamaria wema walijitokeza na kumsaidia Cecilia mpaka akaweza kwenda India kwa matibabu, cha kusikitisha sana ni kwamba matibabu yake kwa njia ya operesheni yameshindikana kutokana na moyo wake kwa upande mmoja kuathirika na sumu ambayo madaktari wa India wamesema inasababishwa na Sumu ambayo ipo kwenye Mihogo, sumu hiyo huwaathiri sana watoto wenye umri kama wake.


  Kwa hiyo imekuwa ni vigumu kumfanyia operesheni hiyo, wakashauri atumie dawa tu ili kuweza kuitoa sumu hiyo, Mtoto Cecilia mpaka sasa hali yake sio nzuri anawaomba watanzania mumuombee ili aweze kupona na aweze kutimiza azma yake ya kuwa Mwalimu. Watanzania tunashauriwa tukiona hali ambayo ni tofauti kwa watoto wetu tuwawaishe Hospitali mapemakwa uchunguzi tunaweza tukawahepusha na hali kama hii aliyofikia Cecilia.
   
 2. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kuna wakati binadamu utakufa unao kama jitihada zikishindikana
   
 3. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #3
  Oct 12, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  So sad, may our Lord intervene to save her life
   
 4. N

  NIMIMI Senior Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapa kwetu Tz madaktari nao mbumbumbu walishindwa nini kugundua kilichokuwa kinamsumbua Cesilia kabla ya kwenda huko India ambako wamegundua sumu itokanayo na kula mihogo ndo iliyosababisha hali aloyonayo? Madaktari Tanzania kuweni na Busara, hekima mnatuangamiza wenzenu. Mungu umponye Cesilia.
   
 5. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mungu atafanya maajabu yake, inasikitisha sana
   
 6. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Maskini Cecilia!!!... Tutagundua vipi Mihogo yenye sumu???
   
 7. L

  Luluka JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jaman!tumuombee kwa Mungu amsaidie!kweli binadamu hujafa hujaumbika!Mungu atuepushe na maradhi!
   
 8. regam

  regam JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii ni aibu kwa madaktari wetu kushindwa kubaini tatizo. Yaani pamoja na kwamba wahindi hawana idadi kubwa ya kilimo cha mihogo lakini wameweza kubaini sumu wakati madaktari wetu walisha conclude kwamba mtoto cecilia anaenda kufanyiwa operesheni!
  Miaka 50 ya uhuru iwe changamoto ya kujitambua kimaendeleo badala ya kudhani tu amani na utulivu.
   
 9. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Mungu mponye cesilia. Iponye tanzania. Wape uelewa madaktari wetu. Amen
   
 10. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ndo mana wachaga hawali mihogo!
   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Mungu amnusuru kijana, si kwa mapenzi yetu bali kwa mapenzi yake mwenyewe. Amina
   
 12. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mungu amjalie apone haraka.
   
 13. W

  We can JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Eee Mungu wetu na Mungu wa Babu zetu wa kale, tunaomba umponye mwanao Cesilia. Sema Neno moja tu Baba, naye atapona....AMEN
   
Loading...