Hali ya mambo ndani ya Simba inaonyesha kuna kila dalili tukashika nafasi ya 3 ktk ligi na kushiriki kombe la Loser mwakani

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,756
Yanga atakuwa bingwa kwa mara tatu mfululizo na Azam atashika nafasi ya 2, hii ina maanisha kuwa Simba atashika nafasi ya 3 na atashiriki kombe la Loser mwakani, Mark my words.

Wanaochezesha remote Simba ishinde mechi ipi, itoe sare mechi ipi na ipi ifungwe wako kazini bado.

Nimepoteza matumaini na timu hii, nisije kupata ugonjwa wa moyo bure.
 
Hakuna anaechezesha rimoti kubalini timu yenu kwa sasa haina ubora ambao mnafikiri mnao na mbaya zaidi msukosuko huo umewakuta kipindi ambacho wapinzani uliowataja wamefanya uwekezaji wa kusajiri wachezaji wazuri. Ukiacha na yanga aliekupiga 5 juzi juzi tu hivi leo simba mcheze na azam mna uhakika wa kupata ushindi?
 
Yanga atakuwa bingwa kwa mara tatu mfululizo na Azam atashika nafasi ya 2, hii ina maanisha kuwa Simba atashika nafasi ya 3 na atashiriki kombe la Loser mwakani, Mark my words.

Wanaochezesha remote Simba ishinde mechi ipi, itoe sare mechi ipi na ipi ifungwe wako kazini bado.

Nimepoteza matumaini na timu hii, nisije kupata ugonjwa wa moyo bure.
Mcha-mbuzi.
 
Back
Top Bottom