Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,299
- 765
Nipo maeneo ya Mtwara-Newala, nimegundua ukiwa mpole haupati . Wakulima walikuwa wanadai hela zao za malipo ya pili sh.600 ushirika wakasema watatoa sh.550 wakawatuma madiwani wakawaeleweshe wananchi, wananci wakawafukuza hao madiwani.
Sasa naona wanatoa hela zote in full. wangekubali ndo wangekuwa wameliwa haki yao.
Sasa naona wanatoa hela zote in full. wangekubali ndo wangekuwa wameliwa haki yao.