Hali ya maisha ikoje mahali uliko?

Kuna bi mkubwa hapa mtaani anapika vitumbua vizuri sana, alikua anauza 200 ila juzi kapandisha bei hadi 300

Nilikua napata vitumbua vitano kwa buku, mimi nakula viwili, wife viwili na dogo anakula kimoja maisha yanaenda. Ila kwa sasa buku napata vitumbua vitatu nimeamua mimi niachane na breakfast nimuachie wife na dogo.
Wewe kama mimi
 
Back
Top Bottom