Hali ya mafuta (NISHATI) ikoje huko uliko?

Hali ya mafuta (NISHATI) ikoje huko uliko?

Huku kati watu wanapigwa full tank na nyoka wanatereza vibaya mno....
 
Ndio maana waligoma kuuza mafuta juzi na jana
Kama mtu alikuwa na akiba ya mafuta lita laki moja inakuwa ni 100,000×400= 40,000,000
Hiyo pesa inatosha kuwalipa mshahara wafanyakazi wanne wa kituo cha mafuta
Kwa zaidi ya miaka mitatu.
 
Jana mtwara watu na madumu sheli sikuelewa ndo naelewa
 
Back
Top Bottom