WE ARE ANONYMOUS
JF-Expert Member
- Mar 23, 2015
- 217
- 284
Umofia kwenu wana JF!
Huyu kamanda nakumbuka pale Kinondoni alituthibitishia kwamba kura hazitaibiwa na yeye mwenyewe atatangaza matokeo ya uchaguzi mapema kabisa kabla hata tume haijatangaza.
Ghafla tunakuja kusikia jamaa hali yake ni mbaya anaumwa na kapelekwa India kwa matibabu zaidi.
Leo imebaki wiki moja tuingie kwenye uchaguzi mkuu na bado "mtangaza matokeo" wetu hatujui hali yake wala hatumsikii tena.
Anaendeleaje huko india?
Wakatabahu!!