Hali ya kisiasa mkoani Kigoma

Nadhani kichwa cha habari kinapaswa kuwa hali ya kisiasa ya Chadema katika jimbo la kigoma kaskazini kuliko kilivyo sasa
 
watu wengine nadhani mnachangia thread bila kujua mantiki .nadhani na ww ni masalia ya zitto kwa kuwa unashabikia upuzi kama ww ni cdm

unaitaji maji ya baraka.kwanza ni lazima ukiwa mbunge utengeneze network ya kutosha upate madiwani wengi,wenye viti wa vijiji hiyo iwe jambo kupgana kufa kupona..sasa kama unamashabiki na huna wachezaji kuna maana gani>>use common sense jambo la msing hapa mkosoaji kasema ukweli mnataka zitto wenu awe rais wenu waell n gud.atengeneze kwake kwanza kwake...na hii sii kwa zitto tu hata kwa wabunge wengine wa cdm....
 
Labda ndo maana jamaa katangaza mapema kuwa hatagombea u MP hapo 2015, kumbe keshaharibu kwao Mwandiga,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 

Mkuu kwenye masuala ya msingi acha ushabiki usio na maana, je ni wabunge wa chadema ndo wanatakiwa kutengeneza kwanza kwao (majimbo yao)? vp kuhusu hao wanamagamba ambao kwenye majimbo yao walimu kukosa hata chaki wakati wana mbunge wazidi mdogo kwenye sekta ya elimu? japo haijui hata historia ya Muungano?. Tuache siasa za mahaba.
 

nimemsoma.. Ni sawa hasa..has mbunge wa chama dhaifu katikaa mkoa huoa anapotaka kugombea uraisi!
 

Kaka! Hapo uko sawa.na Ukweli hata siku moja haujifichi.Huwezi amini ni mkoa anaotoka Naibu Katibu mkuu wa chama.Lakini waliomjua kupitia tv wanaweza kuchangia kwa kumtetea hadi kutokwa na povu.Lkn makamanda tunajua kila kijiji cha jimbo lake kwa upande wa chama najua majimbo yote 8 kwa upande wa chama kisivyokuwa na kasi ukilinganisha na nafasi yake.But Tutapambana.Kuanzia january Masalia kama wapo watasoma namba tutakavyonukisha M4C ndani ya Mkoa.
 

umesomeka mkuu
 
Mkuu uko sawa kabisa ni kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa au kuuma na kupuliza. Unafiki bwana !!!!!!!!!!
 
Eeee Mungu wetu naamin hutotuacha wanao tuongozwe na watu wanaotegemea giza zaidi kuliko ewe Mnyezi Mungu.
 
nimependa hii ID "Mzito Kabwela", dah asee uh
 
Ni busara nyepesi tu, hivi hamkumbuki kuwa hao wabunge wote wa NCCR walikuwa ni vijana wa CDM na walipelekwa huko kwa mpango na gharama za Zitto?
Kama ulikuwa hujui hilo, sasa anzia hapo kutafuta picha kamili.
 
amejitahidi sana kuzuia ukuaji wa cdm katika eneo hilo!

acheni kuongea polojo, mpaka leo hon.zitto anakubalika kigoma, watu wanasafiri toka vijiji vya mwamgongo mpaka kalinzi kumsikia zitto anapokuwa na mikutano!!!!!!
Mtasema sana, mara kigoma ni wakimbizi,mara wakongo!! Zitto ni kichwa mtachemka sanaaaaa!
 
Viwanda vya kuzalisha uongo kazini! Hii ndo hali ya siasa kigoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…