Hali ya kiafya ya Bakari Harith Mwapachu

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,673
nimepata tetesi kuwa hal ya kiafya ya huyu mzee haikuwa nzuri kwa yeyote mwenye upadates atusaidie ila nilichoelezwa mimi ni kuwa alikuwa mgonjwa sana leo
 
Ni mzee au mjukuu wa Harith Mwapachu? Si nimeona kwenye ITV kwamba HArith Mwapachu anazikwa jumatano!!
 
Aliyefariki ni Harith Mwapachu, kijana, mtoto wa Juma Mwapachu, kaka yake na Bakari Harith Mwapachu. Kuweni waangalifu kidogo, au wadadisi kuhakiki mambo kabla ya kupost humu ndani mambo msiyoyajua!
 
Back
Top Bottom