Hali ya Hewa ya leo

Princep

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
565
792
Hapa Dar mvua inanyesha sasa na imenyesha kwa muda mrefu.

Yale maeneo korofi ya kujaa maji katikati ya jiji na maeneo ya mabondeni sijui hali ikoje.

Vipi hali ya hewa ya sehemu ulipo sasa?
 
Naam
IMG_20220403_094803_309.jpg
 
Back
Top Bottom