Hali ya hewa kuwa mbaya

:bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange:

:crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy::crazy:
 
Hapo angela naye akiulizwa baba yako nani ANAONYESHA WEWE MLETA THREAD!!Mungu msaidie afuate akili za mama kwan baba ni mbipi
 
Nimesikia hali ya hewa kuwambaya je?kunahaja ya vyombo vya hali ya hewa kumwona mzee wa upako awezekuliepusha janga ili kama alivyostopisha mvua mwaka jana.

Ukikua utaacha ujinga huu
 
Unaleta uzi usiokuwa na mashiko,ni tatizo inaonyesha ni jinsi gani ulivyokurupuka na viroba vyako kichwani na kuleta thread isiyoeleweka.
 
we baba angela umepatwa na nini asubuhi yote hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…