Hali ya Hatari Tandika!!

lakini si kanisa la kkkt kama ilivyokuwa ikisemwa. wamewaumiza walinzi tu. hizi ni taarifa kutoka kwa mchungaji wa kkkt yombo.
 
sasa wakristo inabidi walinde nyumba za ibada zidi ya magenge ya hawa wezi

sio tu kutoa matamko bila kuchukua hatua hata Mungu atawashangaa kwani hata Yesu alipo ona nyumba ya ibada inavamiwa na wafanya biashara alichukuwa hatua ya kuwaondoa kwa nguvu sasa inakuwaje hawa waendelee kufanya vurugu wangaliwe tu
 
Makanisa wachome sadaka,vinanda,ngoma na vinanda watuachie
 
Ni mwendelezo wa kupinga kitendo cha mgalatia mmoja kukujolea msahafu.

Duh! MGALATATIA.......Ndo wanavyowaita Waktristo?.............
Bwana akiwa upande wetu ni nani atakuwa juu yetu?!!!

NAPIITA TU!
 
lakini si kanisa la kkkt kama ilivyokuwa ikisemwa. wamewaumiza walinzi tu. hizi ni taarifa kutoka kwa mchungaji wa kkkt yombo.

Nikimfuma ustadhi ubwabwa anachoma nikimtandika mshale wa makalio nitakuwa nimekosea?
 
Ivi kuna eneo laitwa Tandika Yombo pls locate it!
Nijuacho ni kuwa kuna mtaa wa Yombo maeneo ya CCM kata 14karibu na shule ya msingi Madenge
 

Inachekesha! mie ni mgala hali yangu ni ya ungango nikijikuna unga unatoka! Mlo mmoja ni kama sikukuu! kila kukicha afazali ya jana! Wee ponda na wafuasi wako nimewazulumu nini? au kosa langu kuwa mgala! Mmelianzisha ndio mtafahamu tofauti ya mgala na Mkristo!
 
Yule bibi wa kituo cha haki za binadamu, labda atoe tamko akitetemeka inaweza saidia...!
 
tandika yombo ndo kimesanuka!!nipo busy kutafuta nyuzi ntawamwagia shortly within a min!

viongozi wetu wameshakipata walichokuwa wanakitaka, tusubiri tuone hatma yake. Sisi tulioko ughaibuni tunawaonea huruma sana watanzania wenzetu. Wikiendi nakuja kuchukua wazazi wangu nije niwahifadhi huku, mpaka huu upepo upite kwanza, kama asemavyo mkulu
 
Ha ha haaa naona wanatafuta sadaka sasa si wakavamie mabenki we sadaka kutoka jumapili o jumamosi hadi leo

Hawajui taiming waambie wasubiri wagalatia wazichange make najua jumapili wenye upendo tutachangiana kurudishia hasara zao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kama hii ni habari Ya kweli, ANY THING BAD CAN HAPPEN IN THIS COUNTRY!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…