Wasalaam,
Naona hali ya mapenzi si sawa kabisa, kuna maumivu makubwa makubwa sana kuliko inavyoripotiwa humu jf! kwa kifupi hali ni mbaya sana, hk ndicho unachowezasema kwa kifupi kuhusiana na mapenzi! kuna wengine wanagugumia kimya kimya hawana la kufanya, kuna wengine hadi kwa waganga wa kienyeji, kuna wengine kila leo wanasaka ushauri, wanawake kwa wanaume wanajitahidi kubadilisha wapenzi katika nia ya kusaka suluhu la maumivu ya kimapenzi! alieolewa analia, alieoa analia, mwanafunzi analia, housegirl analia hadi kujinyonga, kondakta na dreva wake wanalia, mwalimu analia, ........... . . .. . .. . . . . .hali ni mbaya sana kwa kifupi!
hv kuna dawa ya kuzuia maumivu ya mapenzi?, maana kuna kilio nchi nzima kuhusu mapenzi!
huyu analia hv, yule analia vile ili mradi hali ya mapenzi si sawa kabisaaa!
Wanaume kwa wanawake itangazeni hali ya hatari kwenye dimbwi hili la mapenzi, labda itasaidia!