Hali ya hatari itangazwe kuhusiana na mapenzi!

Hali ya hatari itangazwe kuhusiana na mapenzi!

Sijawahi ona bandiko lako lenye kuonesha walia...
Hata hivyo bado naamini nawe u mdogo kwa umri wako ule ulioutaja kwa Birthday yako...

Sijawahi bandika nakufa tu kijerumani na tai shingoni.....
 
Hamna mahakama ya mapenzi wewe mkuu hayo mambo usiseme ni TZ tu ni worldwide mapenzi hayana formula

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hiyo ndiyo Sheria ya Mapenz unaingia kwa furaha unatoka unalia,kiukweli raha za mapenz ni chache kuliko huzuni za mapenz.
 
Mie nimelia wee mpaka sasa nimekuwa sugu.....I have promised myself. ...No more crying.......
 
Back
Top Bottom