Hali Ya Barabarani Tokea Dar hadi Arusha

Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,579
1,080
Habari za Jioni ndugu zangu Watanganyika.
Kesho nina mpango wa ku-drive toka dar kuelekea Arusha,kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa wingi ningependa kupata updates za njia ilivyo kwa sasa...Wahenga walisema heri kinga kuliko Tiba
 
nakushauri uwasiliane na sumatra wana majibu ya uhakika mkuu! Hapa utapigwa changa uanze safari kumbe mbele majanga!!
 
Back
Top Bottom