mzalendo15
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,361
- 1,054
What's your point? Mwakyembe kutokuwa na barabara nzuri jimboni kwake kuna uhusiano gani na ufanisi wake wa kazi? Wizara ya ujenzi ndiyo yenye maamuzi kuhusu ni barabara zipi zitengenezwe na zipi ziachwe. Hata waziri wa ujenzi mwenyewe hawezi kuamua kuwa ajenge barabara za jimboni kwake kama haziko kwenye priority ya mipango ya serikali. Unataka kuniambia kuwa hilo hulijui? Kama tunataka viongozi wetu wafanye kazi kwa ufanisi lazima na sisi tuwa judge kwa haki bila kuwaonea. Responsibility is for all of us!!
Point. Suala lamsingi hapa ni kuboresha pato la taifa na kubuni vyanzo ili ikifikia suala la bajeti ipangwe bajeti isiyo na mapengo
Pia suala kubwa la msingi ni kuhakikisha pesa zinazotengwa zinakwenda kufanya shughuli katika kiwango sahihi.