Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,541
- 31,707
Hii ilikuwa barabara bora kabisa miaka ya tisini, ni toka njia panda ya Border mpaka Itungi port!! Mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilifumuliwa na kujengwa upya, hapo ndipo matatizo yalipoanzia.. Hii ni moja ya barabara mbovu kabisa kupata kutokea kama mnavyoona pichani, imejaa mashimo kila pahala na mvua ikinyesha ni madimbwi matupu!! Kila kukicha mafundi wapo barabarani, lakini hakuna nafuu!!
Magufuli tunaomba imulike barabara yetu, kuna watu wameigeuza kuwa mradi na ajira ya kudumu kwao, ni kheri ifumuliwe na kujengwa upya kuliko huu uhuni unaofanyika!
Magufuli tunaomba imulike barabara yetu, kuna watu wameigeuza kuwa mradi na ajira ya kudumu kwao, ni kheri ifumuliwe na kujengwa upya kuliko huu uhuni unaofanyika!