Hali ya baadae ya Tanzania itakuwaje? Kama tumeanza kwa kasi hii? Libya na Misri walianza hivi hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya baadae ya Tanzania itakuwaje? Kama tumeanza kwa kasi hii? Libya na Misri walianza hivi hivi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Satan's foe, Oct 21, 2012.

 1. S

  Satan's foe New Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania haijawahi kushuhudia machafuko kama ambayo yamejitokeza wiki iliyo malizika kwa kipindi kirefu sasa. Inaweza isiingie akilini imekuwaje ile kuanza tu yameanza kwa kasi ya ajabu. Is it not possible that there is an extra force behind the curtain?. Anyway, sitaki kuzungumzia habari za viongoz wakuu kukaa kimya hadi sasa bila kauli yoyote. La kujiuliza ni hili kwa nini chanzo cha vurugu kiwe kingine lakini watu waonekane wakienda Ikulu kwa mkuu wa kaya? Hapa hakuna sababu za kutokuamini kuwa kuna nguvu ya ziada nyuma yao. Pia what a coincidence kwamba Uamsho watoe tishio ndipo kiongozi ajitokeze? Kisha atiwe nguvuni. Swali ni nini hali ya baadae ya Nchi hii ambayo haikuzoea machafuko? Na wanaofanya hivyo wanafanya kwa faida ya nani?
   
Loading...