SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,843
- 1,841
Kama kuna uchaguzi CHADEMA tungeshinda kilaini na asubui ni huu wa Kinondoni, lakini tutashindwa miserably kwa sababu ya sarakasi za Mwenyekiti.
Mpaka sasa baadhi ya makamanda hapa ufipa watashangilia bwana Mwalimu akishindwa uchaguzi wa kinondoni na wanateta eti hawatamsaidia chochote katika kampeni hizi. Issue iko hivi;
Makamanda waliambiwa hatushiriki uchaguzi wowote wa marudio, hivyo makamanda waka back down. Lakini bila kuwepo mchakato shirikishi wa kichama, ghafla Mbowe akabadili gia angani na kuamua eti tutashiriki uchaguzi wa ubunge na hapohapo akawa na mapendekezo yake ya wagombea. Hii ikawanyima makamanda kindakindaki nafasi ya uteuzi.
Sasa kuna makamanda wanahisi kuzungukwa katika hili, na wanaamini uteuzi wa Mwalimu haukufuata taratibu. Kwa msingi huu, makamanda wamemgomea.