Hali siyo nzuri kiuchumi kwa vijana Arusha

We haramu sisi ndo vijana wa Arusha na maisha ni safi......Arusha inawatalii wengi mwaka huu kulinganisha na miaka mingine..
 
kaiulize sirikali yako hao wauwaji wa tembo na wauza sembe kwanini hawajashughulikiwa. huyo mtalii unataka aje aangalie nini wakati tembo mnawamaliza. jipanguse
 
lema anajenga magorofa njiro. vijana wa chadema arusha wanapiga miayo wamepigika kichizi , kweli lema amewaingiza chaka
 
Serikali ya mtu ni kichwa chake mwnyew kama unategemea chama cha siasa kitakuletea kila kitu ni kujidanganya

Ritz unakumbuka kauli ya "Maisha Bora kwa kila mtanzania" ya JK? Maisha ni magumu nchi nzima!

CC Erickb52
 
Last edited by a moderator:
lema anajenga magorofa njiro. vijana wa chadema arusha wanapiga miayo wamepigika kichizi , kweli lema amewaingiza chaka

Mkuu Arusha si Bagamoyo.....Nenda kakate mauno huko kwa wakwere wenzako...Arusha ni level ingine aisee....Huku hatujui kitu inaitwa CCM..
 
Nape kawakurupua misukule yake ya Lumumba baada ya kuona yanapokea buku7 halafu hayafanyi kazi....
 
Mkuu Invisible inabidi uhakiki wa I.D uendelee hawa buku 7 sasa ni janga la JF wamekuwa weupe sana vichwani wao ni kuandika utumbo tu JF ili kuharibu mtitiriko wa mada JF hapa, liangaliwe hili kwa mapana, na uchangiaji wao ni nusu mstari au mstari mmoja

We maiti unafikiri JF ni mali ya mamako?
 
Last edited by a moderator:
Majambazi walioko arusha kwa sasa wwnajulikana--Jumanne mjusi(mtumishi wa ccm aliyetolewa gerezani kwa kazi maalum na kiongozi wa green guard) Mojaa(mtumishi wa ccm na jambazi maarufu) Masudi(jambazi uchwara na kiongozi wa vijana wa ccm kata za lemara na daraja mbili-Badruu(jambazi la siku nyingi na mfuasi mtiifu wa ccm na msaidizi wa Hassan kitambi ambaye ndiye mkusanya michango wa ccm) ila woote hao wqmeshindwa kuichafua taswira ya arusha kama walivyotumwa kufanya!! Mungu mkubwa.
 
Lema, CDM inawasumbua sana CCM.
Mlima uko Kilimanjaro, Ritz unaleta uropokaji wa Arusha kwamba hali ya vijana kiuchumi ni mbaya, kwanini usingesema hali ya vijana Kilimanjaro ni mbaya kiuchumi??
Propaganda za k i p u m b av u/kishenzi/ kijinga.
December nani anakaaga bila shughuli??
Hivi porter aje December kutafuta kazi wapi na wapi??
Kwa wasiojua December ni sehemu ya wauza used spareparts za magari, sasa porter(mpandisha mizigo ya wazungu mlimani) akakae kwenye sehemu ya kuuza spare za magari akitafuta kazi??
Ficha ujinga wako wewe.
Sasa hivi tuko kwenye Low Season, wageni ni wachache iwe wa mlima(Kilimanjaro) au porini(Manyara, Tarangire, Ngorongoro, Sere, etc).
Usidanganye watu kijana otherwise mods wakuanzishie jukwaa la Uwongo.
For more details karibu ofisini.
 
Last edited by a moderator:
Ritz naona ndo kakurupuliwa.....Naona wameamua kukusanyana....Tutawadhibiti tuu...Hamna shida....Misukule dawa yao ni ndogo sana....
 
Last edited by a moderator:
lema anajenga magorofa njiro. vijana wa chadema arusha wanapiga miayo wamepigika kichizi , kweli lema amewaingiza chaka

Mkuu nasikia wewe Nape ndo kakunasa kibao maana ndo unaoneka zezeta sana...Unashinda JF lakini una-post pumba......

Njaa mbaya sana...
 
sasa hivi unga limited hakupitiki. makamanda wa chadema wanakaba watu.mchana kweupeeeee
 
Mkuu nasikia wewe Nape ndo kakunasa kibao maana ndo unaoneka zezeta sana...Unashinda JF lakini una-post pumba......

Njaa mbaya sana...

maeneo ya kijenge, sakina, sanawari, lemara mianzini, ngaramtoni makamanda wa chadema wanakaba watu mchana kweupeeee
 
Back
Top Bottom