Hali siyo nzuri kiuchumi kwa vijana Arusha

Naona watumwa wa buku 7 mmejianzishia thread na kujijibu....
Poleni sana...mtakaa na fikra zetu finyu na mitizamo ya kutumwa na wenye nacho hadi mnakufa.

Suala mnalozungumzia sio la Arusha bali la Tanzania nzima...watu ni maskini kwa sababu pesa za maendeleo ndo mnagawiwa ninyi hizo buki 7 kuleta topic za kipuuzi humu km hii.

Hebu kuweni kiakili basi muwe na utu HURU mmekuwa watumwa vya kutosha sasa hebu tumieni akili zenu kufikiri na sio za wenzenu au ma------.

mkuu hutakiwi kuhangaika nao hawa waache wajibizane wenyewe ,wenzio tumesha waona wapumbavu ndio mana unaona thred zao wana jijibu wenye.tunawacha tu mkuu. Kujibizana -------- na wewe utakuwa -------- zaidi mkuu achana nao. Wakati wao wakiendelea kuhangaika na chadema wanachadema wanaendelea kutoa elimu ya uraia kwa waanzania.
 
wenye vurugu ni serikali ya ccm,kama lema ndiye mwenye vurugu si mumkamate mkamshtaki?serikali gani hii inakalia watu kama ni waovu,acha ushabiki wa kijinga,serikali kwakutumia polisi ndiyo wafanya vurugu na wauaji wa raia.

lema hana vurugu isipokuwa yeye kavurugwa tigo!
 
hahaaa .haaaa. buku saba janga la taifa, naona wakitaka kuanzisha thread wanapigiana simu kabisa. Buku saba majanga, wana arusha waipende chadema maumivu mpate nyie. Haziwatoshiiiii...
 
chadema ni danguro la wazinzi

kuna jamaa mmoja ameleta uzi akimshauri nape kuleta watu hawa anaowalipa buku 7 wanaojua kujenga hoja na siyo type hii yenyekutoa matusi tu,kumbe alkuwa sahihi maana wewe ni mmoja wao unathibitisha hilo,ama kweli ccm hamna kitu kichwani ni madudu tu.
 
Wanaukumbi.

Kwa muda wa mwezi mmoja nimekuwepo Mkoani Arusha nimetembelea maeneo mbalimbali, kwa kweli hali nilioikuta kwa vijana wetu katika upande wa ajira inasikitisha sana kutokana na siasa za Jiji la Arusha nimeongea na vijana wengi sana wanalalamika sana maisha yanazidi kuwa magumu Jijini Arusha.

Baadhi ya vijana ambao ni wabeba mizigo ya watalii kwenye Mlima Kilimanjaro wanalalamika kazi imekuwa ngumu tofauti na miaka ya nyuma watalii walikuwa wanakuja kwa wingi sana kipato kilikuwa kikubwa kwa siku walikuwa wanalipwa 15,000 tofauti na sasa hivi hali imebadilika watalii wanakuja wachache kutokana na kuogopa vurugu za kisiasa, sasa hivi wanalipwa 8000 kwa siku, nikajaribu kuongea na baadhi ya viongozi wa chama cha wabeba mizigo ya watalii The Kilimanjaro Porters Assistance Project (KPAP) nao wanalalamika pia.

Vijana wengi wameamua kwenda kushinda Makao Mapya pale Decembar wanapouza spear za magari maskani ya Chadema na Unga Limited bila kazi zozote wamekataa tamaa na wanategemea Chadema watawapa ajira, napenda kuwapa ushauri hawa vijana wasikate tamaa wajitume kufanya kazi wasitegemee kabisa kama Chadema watabadilisha maisha yao, watakuwa nanatumika tu kwenye maandamano.

Kwa hiyo CHADEMA hawa wamesababisha hali ngumu ya kiuchumi Mtwara, Lindi, Tanga, Pwani, Dodoma, Singida, Tabora na Kigoma?
 
vijana wa arusha sasa hivi wanatembea na bisibisi na mapanga kwa ajili ya kufanyia uhalifu.. amani arusha imetoweka ,, arusha ni hatari kupita somalia. chadema ni janga la arusha
 
watapataje maendeleo kila siku maandamano na mbunge wao min kabang

Maendeleo ya vijana wa Arusha Ni kuwa na uwezo wa kununua viroba angalu vitatu kwa siku vitakavyowasaidia kuandamana pale tu Lema anapotangaza maandamano

chadema imeharibu sana uchumi wa arusha kwa vurugu za mwehu lema. watalii wamepungua sana arusha. vijana waliokuwa wanategemea biashara ya utalii sasa hivi wamekuwa vibaka. wenye mahoteli ya kitalii wamepata sana hasara . chadema na lema wamevuruga sana uchumi wa arusha

Pepozzzzzz imewadanganya, watakula maandamo

Duu inasikitisha sana from geneva of africa to soweto of tanzania... lema na chadomo ni jinaga kuu la taifa kuliko MALARIA

mkuu. siku hizi vijana wa arusha hata.ela ya viroba hawana wamehamia kwenye gongo. chadema wameshusha sana uchumi wa arusha

Hahahahaaaaaa! Lema mini kabhaaaaaaaang? Ndio ubaya na kuwa na akili za gongo na viroba. Washabiki wengi wa chama cha gongo ni wavuta bangi na viroba

chadema imewafanya vijana wa arusha wamekuwa vibaka

chadema ni danguro la wazinzi

we utakuwa mmoja kati ya wale vijana wa ufipa wnao fuwa chupi za mama mukya

vijana wa arusha sasa hivi wamekuwa machokoraa

Teh teh teh Ritz umenikumbusha mbali Unga Ltd ikishafika saa moja usiku hapapitiki vijana wanafunga mbao mkononi ngoja wakukabe shingoni utafikiri umekatwa na panga! Duh hali ni ngumu sana vijana hawana kazi.

Lema kawatoroka makamNda

lema hana vurugu isipokuwa yeye kavurugwa tigo!

Mkuu Invisible inabidi uhakiki wa I.D uendelee hawa buku 7 sasa ni janga la JF wamekuwa weupe sana vichwani wao ni kuandika utumbo tu JF ili kuharibu mtitiriko wa mada JF hapa, liangaliwe hili kwa mapana, na uchangiaji wao ni nusu mstari au mstari mmoja
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nokla.

Vijana wa Jiji la Arusha wana hali ngumu sana kiuchumi.


Ni kweli tupu, mi naishi Moshi na arusha ILA vijana wa arusha kazi kuandamana tu wakati wa moshi angalau wanapambana ....wanadhani Lema atawaingizia Ankara mifukon
 
Last edited by a moderator:
kuna jamaa mmoja ameleta uzi akimshauri nape kuleta watu hawa anaowalipa buku 7 wanaojua kujenga hoja na siyo type hii yenyekutoa matusi tu,kumbe alkuwa sahihi maana wewe ni mmoja wao unathibitisha hilo,ama kweli ccm hamna kitu kichwani ni madudu tu.

naona imekuuma sna,hili liko wazi chadema ni danguro la wazinzi akiwemo mzee mtei
 
Mkuu Invisible inabidi uhakiki wa I.D uendelee hawa buku 7 sasa ni janga la JF wamekuwa weupe sana vichwani wao ni kuandika utumbo tu JF ili kuharibu mtitiriko wa mada JF hapa, liangaliwe hili kwa mapana, na uchangiaji wao ni nusu mstari au mstari mmoja


Acha kulia Lia wewe na kukimbilia kwa mods, vijana WA arusha wana hali mbaya kiuchumi
 
Last edited by a moderator:
Sera mbovu za chama kilichopo madarakani ndio zinazokosesha vijana ajira kwani lema ndio aliyefilisi viwanda vya Mkoa wa Arusha pia kumbuka tupo kwenye miezi ya low season watalii ni lazima wapungue na mlima Kilimanjaro haupo Arusha
 
Sera mbovu za chama kilichopo madarakani ndio zinazokosesha vijana ajira kwani lema ndio aliyefilisi viwanda vya Mkoa wa Arusha pia kumbuka tupo kwenye miezi ya low season watalii ni lazima wapungue na mlima Kilimanjaro haupo Arusha

inaelekea ww unaandika huu uzi ukiwa chumbani,fika arusha uwone hali halis,lema amewaingiza barabarani kila ciku kuandamana yeye anajenga magorofa njiro
 
Ww kukaa Arusha mwezi mmoja ina maana ndo umeijua sana Arusha na hali yake kiuchumi, ina maana wazawa na waliopo Arusha hawalion hili kama lipo na ina maana hawajitambui??? Labda ungejaribu kufanya utafiti kuhusiana na hili
 
LEMA na CHADEMA wameigeuza Arusha uwanja wa vita, Amani imekuwa ni bidhaa hadimu sana! Lakini cha kushukuru vijana wengi wameshajifunza sasa, na wameamini yale maneno tuliyokuwa tukiwaambia kabla. Hakuna cha UKOMBOZI wala chochote, sana sana wanashuhudia KAMANDA wao LEMA akiendelea kubadilisha mikoko na kujenga magorofa huko njiro Corona.
 
Mkuu Invisible inabidi uhakiki wa I.D uendelee hawa buku 7 sasa ni janga la JF wamekuwa weupe sana vichwani wao ni kuandika utumbo tu JF ili kuharibu mtitiriko wa mada JF hapa, liangaliwe hili kwa mapana, na uchangiaji wao ni nusu mstari au mstari mmoja

Jibu hoja acha kukimbilia kwa mods we maandazi.
 
Last edited by a moderator:
Naona wa buku 7 mmejaa ,kweli chadema imewashika pabaya ,kila siku stori mpya siasa hizi mtaacha lini,Kama mnaweza kutunga hiv c mpge kolabo na ommy sio kla sku kupokea buku 7
 
Hebu nyie buku saba fc tukumbusheni maandamano ya mwisho arusha yalifanyika mwaka gani? Na yalihusu nini hasa?? Naona jf inakosa heshima sasa kwa kuruhusu kila takataka kutupiwa humu.
 
Back
Top Bottom