Hali sio hali, loan board punguzeni asilimia

nikionaga nyuzi za loarn board tumbo linauma mkataba tuliingia vingine saizi wanatukata vingine roho inauma sana
 
Kazi ya Loan board ni kusimamia sheria sio kupunguza maana hajajitungia sheria hiyo ya makato yeye ni mtekelezaji,ulipaswa kuwapongeza kwa kuitekeleza vyeme sheria.
Chagua upinzani ufute sheria kandamizi nyingi tu ikiwamo hii na ile ya kuzuia watoto waliopata mimba kurudi shule,zaidi ya yote ni sheria ya fao la kujitoa
 
Fanya chaguo sahihi kwenye sanduku la kura. Huna pengine pa kupaza sauti yako na ikasikika.
 
Kazi ya Loan board ni kusimamia sheria sio kupunguza maana hajajitungia sheria hiyo ya makato yeye ni mtekelezaji,ulipaswa kuwapongeza kwa kuitekeleza vyeme sheria.
Chagua upinzani ufute sheria kandamizi nyingi tu ikiwamo hii na ile ya kuzuia watoto waliopata mimba kurudi shule,zaidi ya yote ni sheria ya fao la kujitoa
toeni kipengele cha ushoga kwenye sera zenu tuwaunge mkono
 
Back
Top Bottom