Naomba kueleweshwa kuhusu online loan apps

Agresive

JF-Expert Member
Feb 18, 2018
889
1,227
Hbr wakuu.

Siku za hivi karibuni kuna utitiri wa apps mbalimbali katika mitandao inayojitangaza kutoa mikopo kwa njia ya mtandao. Mojawapo zamani ilikuwa

NALA kwa sasa zipo nyingi sana mfano Umoja Loan na nyinginezo sijazikariri.

Kila nikiwaza sipati uhalisia wa apps hizo kama kweli zinatoa mikopo kama zinavyojitangaza na viwango vile wanavyosema au ni mtego wa kutaka kupata information zako halafu wazitumie jinsi wanavyojuwa wao??

Maswali ambayo huwa siyapatii majibu ni
1. Watakukopeshaje wakati hawajuw direct ulipo.

2. Watakukopeshaje wakati hawana historia ya mzunguko wako wa pesa labda katika line yako ya cm au bank.

3. Wana uhakika gani kama utawalipa

4. Kiasi wanachotangaza ni kweli wanaweza kumkopesha mtu.

5. Kuna madhara gani kukopa kwa apps hizo za mikopo.

6. Usipowalipa watakupataje.
7.Ukikopa unalipa kwa mfumo gani?

Mitandao ya cm inakopesha lakn ni baada ya kuwa wameshaona mzunguko wako wa pesa katika akaunt yako, na wataanza kukukopesha kidogo kidogo ukilipa kwa wakati ndiyo kiwango kitapanda.

Naombeni ufafanuzi kuhusu apps hizo.

MWISHO.

HAKUNA AJUAYE KESHO NA LINI UTAKUWA UMEFULIA NA SHIDA IMEKUPATA UKIWA WAPI, NILITAMANI KUJUWA HILO COZ MAISHA NI KITU KISICHOTABIRIKA.

Naomba kuwasilisha
 
Jamani kopeni makampuni mengine kama hili ni waaminifu trust me kopa utanishukuru
 
Back
Top Bottom