Hali si nzuri kwa ccm Kalenga

Hali si nzuri kwa ccm Kalenga

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
2,325
Reaction score
724
Wakuu nilikuwa napita kuelekea mikoa ya kusini katika jimbo la Kalenga katika kata ya Ifunda.Nikaona pilika pilika za magari ya ccm nikaamua ni pumzike kidogo kabla ya kuendelea na safari hapo jana.Japo kuwa mi si mwenyeji wa koa huu niliamua niwapate watu wa chache wa ku shear kidogo.Jana ilikuwa ndiyo uzinduzi wa kampeni kwa ccm waliofanyia pale Ifunda.CCM kwa kubaini hali ilio kuwepo walisomba watu toka sijui wapi waliingi na mabasi matatu ya Upendo,na vihice vingi ili angalau kujaza watu pale kwenye mkutano.Wenyeji walionekana kuendelea na shughuli zao huku wengine wakionekana wakilinda bendela zao za cdm.

Watu kadhaa nilo ongea nao wanasema tatizo ni aina ya mgombea waliomweka ccm hakubaliki.Si tu kwamba hajaishi jimboni humo na kuwa amekulia Ulaya na hata kupata mke mzungu,bali pia hana muvuto wowote wa kisiasa.Binafsi nililithibitisha hilo mara alipo panda jukwaani.kwakweli anaonekana amelazimishwa tu mambo ya kugombea.Kuna maneno aliyo ambiwa ayaseme,lakini hawezi kuyajengea hoja kabisa.
Kifupi pale Ifunda alionekana kukataliwa kabisa.Sasa wana sema maeneo mengine kama Kata ya Wasa,Kalenga penyewe,Ugwachanya,Kihuwele nk kote huko ameonekana kukataliwa.Wengi wakisema hana uwezo wa kuwawakilisha na wengine wakisema nafasi ya Ubunge siyo ya urithi,hivyo kama baba yake kama alikuwa mbunge si vema mtioto wake akamrithi.
 
Kosa upande wao (CCM)=faida upande mwingine (CHADEMA). Kila la kheri!!!!
 
ONGEENI YOOOTE ILA UZUSHI HUO HAPO JUU NI KUJITIA AIBU TU ! TAFUTA FACT KABLA HUJAROPOKWA
 
Mi ni kijani kabisaaaaaasaaaaaa kani ungeniuliza ningesema ninampa Mginwa ili chama changu kisianguke lakini si kwamba anafaa, akishindwa sintoshangaa tulifanya makosa.
 
What is chama,mnaiumiza nchi
 
Chris Lukosi aliapa kuwa CDM hamshindi Kalenga na mkishinda atatembea kwa miguu toka UK hadi bongo
 
Huyu anaweza kwenda bungeni. Kwenye nchi hii hilo ni la kawaida.
Nakumbuka mwaka 2005, nikiwa Mza, mgombea wa CCM alikuwa akizindua kampeni zake. Wapambe wake walianza kwa kumtambulisha na baadae wakamkaribisha ajitambulishe na aongee na wananchi. Bwana huyu aliposimama, alijitambulisha jina lake na akaongeza kwamba, "Mimi ndiye mgombea ubunge katika jimbo la..." akainama kuwauliza wapambe wake na sauti ilisikika kwenye kipaza sauti "Jimbo la wapi......", wakamjibu "Nyamagana".... Huyu bwana alishinda na akaingia Bungeni na baadae akawa waziri wa wizara nyeti tu hapa nchini. Kwa hiyo sio ajabu huyo nae hata kama mnamuona kama amelzaimishwa, akashinda na kuingia bungeni.
 
Tatizo la magwanda washahada ya uzamivu ya uongo watabwata wakishinwa kimya
 
Tangu uchaguzi wa madiwani uishe wiki kadhaa nyuma nimeishiwa ujasiri wa kuchangia chochote khs chaguzi kwa sasa.
 
Back
Top Bottom