dudupori
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 1,795
- 1,920
Hahahahahahahaaaaaaaa! Ungeulizwa wewe swali hilo ungejibu vipi?
Mkuu ni kweli mtu alitoa kimba? Hahaaaaaa
Hahahahahahahaaaaaaaa! Ungeulizwa wewe swali hilo ungejibu vipi?
Ni kweli kwenye siasa kuna kejeli za kila namna lakini kwa kiwango hiki tunahitaji kuheshimiana vinginevyo hali itakuwa siyo. Haipendezi hata kidogo, mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono upuuzi kama huuHili ni swali gumu sana ambalo mjibuji alihitaji ujasiri wa hali ya juu sana kulijibu
Badala ya kukimbilia kukanusha na kukebehi, fanya kautafiti kidogo. Mbatia kakalia kuto kavu. Mzee Makaidi kakataliwa kule Mtwara. Kuna ukawa tena hapo?
We ni m se nge kweli yani
Hili ni swali gumu sana ambalo mjibuji alihitaji ujasiri wa hali ya juu sana kulijibu
Hahaaaaaa japo taarifa ina chumvi nyingi ila UKAWA hawako salama, sidhani kama huu mwezi utaisha bila kusikia mtu kaamua kuchomoka.